Huyu African American anasema ameishi Accra na Nairobi na kwamba Nairobi iko more developed

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Tazama the first 5 minutes na utamsikia akisema kwamba Nairobi ina more job opportunities na business opportunities. Kwamba alipata kazi inayomlipa vizuri Nairobi.

Hahaha, wakenya mpo na shida Sana, wewe mwemyewe unasema kwamba Kenya hakuna kazi na mamilioni ya wasomi wapo mitaani, ndio sababu wakenya wengi wanakimbilia nchi za nje ili kutafuta kazi, Sasa unashabikia mawazo ya mtu yanayopingana na mawazo yako kwasababu tu ameisifia Kenya, Sasa tuambie Kati ya yeye na wewe nani mwenye kusema ukweli?089/

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha, wakenya mpo na shida Sana, wewe mwemyewe unasema kwamba Kenya hakuna kazi na mamilioni ya wasomi wapoitaani ndio sababu wakenya wengi wanakimbilia nchi za nje ili kutafuta kazi, Sasa unashabikia mawazo ya mtu yanayopingana na mawazo yako kwasababu tu ameisifia Kenya, Sasa tuambie Kati ya yeye na wewe nani mwenye kusema ukweli?089/

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Na hawa Omba Omba wa kitanzania wamejazana Kenya wanakimbilia Kenya Kutafuta nini?
 
I have to say I am not a fan of these type of videos esp when we try to use them as evidence to reinforce our opinions
 
Shemeji kua mkweli tuache unafiki Nai city na Dar city wapi kuna fursa nyingi anzia kazi na biashara

Fursa na biashara huendana na watu wa sehemu husika jinsi walivyo, kwa Dar jameni na ubahiri wenu, middle-class wenu ni wachache na hawapendi kutumia hela, unakuta mtu mwenye kipato cha kati anang'ang'ania kuishi Tandale halafu usafiri anapambania kwenye daladala.

Ukija Nairobi, tuna very vibrant middle-class ambao ndio wanasababisha mji ukue....

Japo kwa Nairobi huwa kuna ushindani kidogo kwenye soko la ajira, maana makampuni yanakagua sana ili kupata the best, ila Dar niliona makampuni hayana sana umakini huo, huwa wanalegeza vigezo maana wakikaza sana hawatapata mtu, na ndio maana unaona makampuni yenu kama vile Vodacom yanang'ang'ania sana kufuata Wakenya.
 
Na hawa Omba Omba wa kitanzania wamejazana Kenya wanakimbilia Kenya Kutafuta nini?
Wakenya waliopo Tanzania ndio wanaongoza Africa kwa kutuma "remittances" huko nyumbani kwenu, kabla ya hapo nchi iliyokua inaongoza ni South Africa.

Kwa Dunia nzima, wakenya waliopo USA, USA na Canada ndio wanaongoza kutuma "remittances" Kenya, kwa Africa ni Tanzania, South Africa na Mauritius ndizo nchi zinaongoza kwa idadi kubwa ya wakenya na kutuma pesa nyingi kuwasadia ndugu zao nyumbani.

Kumbuka kwamba Tanzania pia ndio "the biggest source of Kenya's imports, ikifuatiwa na South Africa kwa hapa Afrika. Pia kumbuka kwamba Tanzania ndiyo inaongoza kuwa the biggest source of food, fruits and vegetables for Kenya.

Without Tanzania, life would be almost impossible among majority of Kenyans

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
I have to say I am not a fan of these type of videos esp when we try to use them as evidence to reinforce our opinions
Most of us Kenyans who are here in JF are here to have fun. We are here to enjoy ourselves but you seem to take life too seriously. Perhaps JF is not the best place for you. There are more serious sites like Skyscrapercity that may better suit your temparament and personality where there are no fun and games there. Here we come to have a good time and sometimes to play with our neighbours. They know this is not serious, they know these are just fun and games. So you can re-assess whether JF is actually the best site for you.

I am also in Skyscrapercity and everybody is serious there thus making that site very boring. I would not want that level of seriousness to come to this site, that would make this site very boring. Yesterday, in the Dar vs Nai thread, you corrected me when I said maybe Egypt is not ahead of Kenya in terms of mall space and that is okay but the purpose of that thread is to have fun and try to compete with our lovely neighbours. JF is all about having fun, while in Skyscrapercity and other sites you can be as serious as you want. Personally I will leave JF if we are not allowed to post anything we want, or to communicate however we want. We have a lot of freedom in JF and that is what makes this site amazing. Maybe this site is just not for you.
 
brother, just because we disagree on some minor issues doesn't mean I don't have your back anytime around these bongolalas
 
Huyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 37.
 
Tazama the first 5 minutes na utamsikia akisema kwamba Nairobi ina more job opportunities na business opportunities. Kwamba alipata kazi inayomlipa vizuri Nairobi.

Sasa accra ndiyo kijiji gani ....mji hauna hata CBD , uwezi kufananisha accra hata na kampala kamji ka accra kana kama km²190 hadi km²200 tu kanaingia kwa Nairobi mara 3 na kanaindia kwa Dar mara 8
 
Ona mlivyo nyuma kiuelewa, kwamba hauijui Accra, mji ambao upo top 10 wealthiest cities in Africa kitu ambacho Dar haijawahi kufikia

Hayo ni maneno tu in reality ni kinyume chake hapa afrika dar ni bora mara 10 ya accra kiuchumi na life quality
 
Huyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 37.

She is a kenya agent no more than that.
 
Back
Top Bottom