Hahaha, wakenya mpo na shida Sana, wewe mwemyewe unasema kwamba Kenya hakuna kazi na mamilioni ya wasomi wapo mitaani, ndio sababu wakenya wengi wanakimbilia nchi za nje ili kutafuta kazi, Sasa unashabikia mawazo ya mtu yanayopingana na mawazo yako kwasababu tu ameisifia Kenya, Sasa tuambie Kati ya yeye na wewe nani mwenye kusema ukweli?089/Tazama the first 5 minutes na utamsikia akisema kwamba Nairobi ina more job opportunities na business opportunities. Kwamba alipata kazi inayomlipa vizuri Nairobi.
Na hawa Omba Omba wa kitanzania wamejazana Kenya wanakimbilia Kenya Kutafuta nini?Hahaha, wakenya mpo na shida Sana, wewe mwemyewe unasema kwamba Kenya hakuna kazi na mamilioni ya wasomi wapoitaani ndio sababu wakenya wengi wanakimbilia nchi za nje ili kutafuta kazi, Sasa unashabikia mawazo ya mtu yanayopingana na mawazo yako kwasababu tu ameisifia Kenya, Sasa tuambie Kati ya yeye na wewe nani mwenye kusema ukweli?089/
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Thank you mkuu. People don't understand this shit. Yaani naweza nikahalalisha kuwa wewe ni mwizi pasipo vivid reasonshiyo ni opinion ya mtu moja tu, tafta opinions za watu hata 10 tu.
Nairobi almradi usiwe mzembe yaani lazy lazy, ni patamu sana....
Shemeji kua mkweli tuache unafiki Nai city na Dar city wapi kuna fursa nyingi anzia kazi na biashara
Wakenya waliopo Tanzania ndio wanaongoza Africa kwa kutuma "remittances" huko nyumbani kwenu, kabla ya hapo nchi iliyokua inaongoza ni South Africa.Na hawa Omba Omba wa kitanzania wamejazana Kenya wanakimbilia Kenya Kutafuta nini?
Most of us Kenyans who are here in JF are here to have fun. We are here to enjoy ourselves but you seem to take life too seriously. Perhaps JF is not the best place for you. There are more serious sites like Skyscrapercity that may better suit your temparament and personality where there are no fun and games there. Here we come to have a good time and sometimes to play with our neighbours. They know this is not serious, they know these are just fun and games. So you can re-assess whether JF is actually the best site for you.I have to say I am not a fan of these type of videos esp when we try to use them as evidence to reinforce our opinions
brother, just because we disagree on some minor issues doesn't mean I don't have your back anytime around these bongolalasMost of us Kenyans who are here in JF are here to have fun. We are here to enjoy ourselves but you seem to take life too seriously. Perhaps JF is not the best place for you. There are more serious sites like Skyscrapercity that may better suit your temparament and personality where there are no fun and games there. Here we come to have a good time and sometimes to play with our neighbours. They know this is not serious, they know these are just fun and games. So you can re-assess whether JF is actually the best site for you.
I am also in Skyscrapercity and everybody is serious there thus making that site very boring. I would not want that level of seriousness to come to this site, that would make this site very boring. Yesterday, in the Dar vs Nai thread, you corrected me when I said maybe Egypt is not ahead of Kenya in terms of mall space and that is okay but the purpose of that thread is to have fun and try to compete with our lovely neighbours. JF is all about having fun, while in Skyscrapercity and other sites you can be as serious as you want. Personally I will leave JF if we are not allowed to post anything we want, or to communicate however we want. We have a lot of freedom in JF and that is what makes this site amazing. Maybe this site is just not for you.
Sasa accra ndiyo kijiji gani ....mji hauna hata CBD , uwezi kufananisha accra hata na kampala kamji ka accra kana kama km²190 hadi km²200 tu kanaingia kwa Nairobi mara 3 na kanaindia kwa Dar mara 8Tazama the first 5 minutes na utamsikia akisema kwamba Nairobi ina more job opportunities na business opportunities. Kwamba alipata kazi inayomlipa vizuri Nairobi.
Sasa accra ndiyo kijiji gani ....mji hauna hata CBD , uwezi kufananisha accra hata na kampala kamji ka accra kana kama km²190 hadi km²200 tu kanaingia kwa Nairobi mara 3 na kanaindia kwa Dar mara 8
Hata amenishtua mwehu huyo.Ona mlivyo nyuma kiuelewa, kwamba hauijui Accra, mji ambao upo top 10 wealthiest cities in Africa kitu ambacho Dar haijawahi kufikia
Top 10 wealthiest cities in Africa
The largest city in South Africa, Johannesburg, is the wealthiest in Africaafrica.businessinsider.com
Hayo ni maneno tu in reality ni kinyume chake hapa afrika dar ni bora mara 10 ya accra kiuchumi na life qualityOna mlivyo nyuma kiuelewa, kwamba hauijui Accra, mji ambao upo top 10 wealthiest cities in Africa kitu ambacho Dar haijawahi kufikia
Top 10 wealthiest cities in Africa
The largest city in South Africa, Johannesburg, is the wealthiest in Africaafrica.businessinsider.com
Shemeji kua mkweli tuache unafiki Nai city na Dar city wapi kuna fursa nyingi anzia kazi na biashara
Huyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 37.