ndio huyo haswaaa mwizi balaaa! anshirikiana na vijana fulani watandaleU sure ni mtoto wa salmin amour kweli? Inawezekana lakini maana mitoto yake yule mzee balaa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nasikia akipita karibu na gari yako ni Majangaaaaaaaa, msibaaaaaa, maumivuuuuuu as balaaa lake ni balaa..
Nasikia ameenda training Japan ya kufungua power window fasta.. As ndani ya sekunde tu ameshasepa nayo..
Ni mtoto wa salmini amour nasikia alipelekwa Japan kusoma akaacha chuo na kujifunza kuchomoa vifaa vya magari as ni mwizi hakunaga
mmh jamani viongozi wa nchi hii ni balaa, hapo kakamatwa na full ushahidi lakini kesho utasikia yuko mtaani, Mungu anisamehje jamani nilivyosikia polisi walifanya kazi ya ziada ili wananchi wenye hasira wasimuadhimbu kwakweli nimetamani kama wangemuachia tu wananchi wamsulubu, si akamwibie baba yake atakuwa nazo za kutosha
Mh.. Kweli wewe ni mwananchi mwenye hasira kali..
Na hivi alivyotangazwa... Nakuambia we subiri wenye hasira wampe haki yake siku akiachiwa kwamba hakuna ushahidiNasikia nusu ya wafanyakaz wote wa Clouds fm ameshawaliza, unaibiwa then unapigiw cm unaenda kununua tena v2 vyako!