huyo ndo mwanamke

huyo ndo mwanamke

yaani ni mtaji kuliko hata wa bakhressa wewe halafu unavuta ingizo kila uchwao.........hakuna kuremba.

Yani ni khabari ya mjini.
Ndo mana ndoa nyingi zinapovunjika,wenye kuhangaika huwa ni wanaume.
Sie akhaaa....
Twajilia tu.
 
Wanaume tumeumbwa matesoo matesoo kuangaika............Cheziya mabinti wa mujini wewe utaumia mwenyewe!!!! Ndio maana sishindani na m/ke kimaendeleo hata siku moja,yeye hata kama hana kazi lkn anaweza akamiliki gari na lipo barabarani daily....
tena wacha kabisa, simu naekewa vocha monthly subscription, total card, dstv annual subscription, na bado saluni. sasa wewe unamenyeka pengine hata deshi
unapiga.
 
Poleeee umefanya yote hayo bado kakufanyizia
 
tena wacha kabisa, simu naekewa vocha monthly subscription, total card, dstv annual subscription, na bado saluni. sasa wewe unamenyeka pengine hata deshi
unapiga.

Acha tu deshi sana yani hadi wazazi unawachinjia baharini misada,ngoja niendelee kusikiliza hapa wimbo wa shaggy "STRENGTH OF A WOMAN"
 
Yani ni khabari ya mjini.
Ndo mana ndoa nyingi zinapovunjika,wenye kuhangaika huwa ni wanaume.
Sie akhaaa....
Twajilia tu.

Haaaaaaa Mkiachwa na mtu mwenye pesa na nyie huwa mnachanganyikiwa bwana!! Utabembeleza utalia weeee utajisingizia kutaka kujiua kisa mirija imekataaa!!
 
umesahahu husababisha mauti kwa vifua chuma kama barlow............
na ndo mm na mama yako na dada yako na mkeo na binti yako......................na tunajenga majumba na kumiliki magari kwa uanamke tu.

Alhaji mwinyi alishaongea haya..:majani7:
 
Mahari ishatolewaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
=HUYU NDO MWANAMKE=
~Ana kazi na anapokea mshahara mkubwa kuliko boy/mume wake bt anaomba salio,na hela ya saluni HUYU NDO MWANAMKE
~Anajua mimba/mtoto co wako lakin anakuacha ulee HUYU NDO MWANAMKE
~Kisa shida na tamaa ya pexa anatumika kwenye matangazo na promoshen akicheza nuxu uchi HUYU NDO MWANAMKE
~Hata uumpe Gari,nyumba na ac yake mwekee 10mil bt atakuxalit tu HUYU NDO MWANAMKE
~Hata huyo wa tmk aliaga anaenda safar dah kumbe anaenda gest HUYO NDO MWANAMKE
~Majambaz na Magaidi ili wakamatwe wanaekewaga mtego wa mwanamke HUYO NDO MWANAMKE
~Fb hata akipost pumba lazma apate like View attachment 71963na cment zakutosha HUYO NDO MWANAMKE


Hiwezekani hatuna mazuri au na we ushatendwa kama mzabzab, wapiii beijing
 
Wanaume tumeumbwa matesoo matesoo kuangaika............Cheziya mabinti wa mujini wewe utaumia mwenyewe!!!! Ndio maana sishindani na m/ke kimaendeleo hata siku moja,yeye hata kama hana kazi lkn anaweza akamiliki gari na lipo barabarani daily....

umesahau likiwa full tank, hatutumii vidumu kwenda sheli ,chezeiya sie wewe, maisha yenyewe ndo hayahaya, iga ufeeeeeeeeee
 
Huwa wanasema don't trust a woman, labda awe ni mama yako.

Lkn huyo mama yako ni MWANAMKE wa baba yako, so extend huo ushauri wa kutomtrust mwanamke kwa baba yako!
 
Back
Top Bottom