Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Kweli kamanda Sangarara,

Najua hiyo comment ipo very radical, lakini tupo JF where we dare to talk openly. Na mawazo yangu tukwasababu najua makamanda wa mitaani tulivyo choka harafu mtu atuzingue. Hili sio tisho. Namoenda Zitto illa nataka kumjurisha kuwa kama yasemwayo ni ya kweli, inabidi abadirike na aache haraka.

Bora ninaye sema wazi, kuliko anaye ficha.

hivi wewe hata kiswahili chenyewe hujui halafu eti unamtisha Zitto wewe unapata wazimu au,toka kule mapanzi tu nyie aliewaroga kafa muache siasa za kitoto na hamna hadhi ya kumtisha Zitto
 
Hey pple wake up mnajua ile divide n rule,this pple r getting to your head..jamani CHADEMA mko kwa ajili ya MAGAMBA au wananchi?thus why some pple think your not ready yet for the OFFICE.this is not timer for blaaa blaa if there is an INSECT among you surely time will tel,Hu ni muda wa mapambano, focouse jamani they wanna see like tht.this MAGAMBAS are so clever they are good at that..Kama zitto anataka urais let him atatwambia atatufanyia nini this is a free n democratic country.
 
Who is this man Mwampamba by the way ? Kwa nini kila kwenye mgogoro anatajwa , anaishi kwa migogoro ? Is he living like parasite ? Au anaonewa wivu labda kwa mafanikio yake ? Kama anayo , na ni kwa nini huwa hajitokezi kukanusha japo baadhi ya tuhuma ? Au ni kweli ameamua kuishi kwa style hiyo ?
 
betlehem yaaani Zitto kutokua wa ukanda ule halafu kutangaza kugombea ile kitu inawauma hawa jamaaa duuu, CHADEMA hakuna chama pale ni kijiwe tu
 
Last edited by a moderator:
Exaud Mamuya kamanda kwanza pole kwa kazi nzito uliyopewwa ya kupotosha Umma tena kwa kutumika kama kibaraka wa ben saanane.
Shutuma zako hazina msingi,Umelenga kumchafua zitto,Umelenga kunichafua mm na hao uliowataja wengine.
Ben saanane ni mshiriki mkubwa wa JF kwanini ameshindwa kuwasilisha yeye hapa JF na kukutuma wewe MAMUYA???
EXAUD MAMUYA wewe unatokea MOSHI,Na unatarajia kugombea Ubunge je unategemea kwa tabia yako hii ya kuchafua VIONGOZI WAKUBWA kama zitto ni njia sahihi kwa uhai wako kisiasa??

WANAJF,Mm Gwakisa Barton Mwakasendo
Kwanza si muumini wa mpasuko ndani ya CHADEMA,
Pili sija na sina tegemeo la Kumwona Zitto akaihangaika kutengeneza hiki anachokisema MAMUYA kuwa ni msaliti.Zitto ni mtu anayejiheshim(n/Katibu mkuu nakuheshimu sana) na sijawahi kutana naye na kujadili chochote kuhusu haya yanayozungumzwa hapa.Zitto yawezekana kabisa hata mimi hanifahamu kiundani zaidi ya kunisikia na kupishana kwenye harakati za kichama.
Hizi harakati zinazoendeshwa na MAMUYA NA BEN SAANANE VIJANA WA MOSHI HAWA NI DHAHIRI WAMEJIKITA KUKIMEGA CHAMA KWENYE MISINGI YA UKABILA KITU AMBACHO NI HATARI SANA KWA USTAWI WA CHAMA.

BEN SAANANE AJE HAPA ATHIBITISHE TUHUMA NZITO HIZI KWA ZITTO KAMA KIONGOZI WAKE NA ORODHA ALIYOITAJA HAPO KUWA NI WASALITI NDANI YA CHAMA.OTHERWISE JF MODERATOR NAOMBA MZINGATIE KANUNI ZA KUSHUGHULIKIA UZUSHI NA UONGO KAMA HUU HAPA JUKWAANI ULIOJIKITA KUMCHAFUA ZITTO NA VIJANA WENGINE.

SWALI:Kama waliotajwa ni vijana wa Zitto, Wa Mbowe wako wapi?
Wa Dr. Slaa wapo wapi?

Nadhani hata Mbowe, Slaa na Zitto walipo wanashangaa kuona kitu kama hiki,Mm nimeongoza Kuzunguka na helcopta inchi nzima 2010 na karibia miaka yote nikihakikisha itifaki ya kila mkutano inazingatiwa>..leo niwe msaliti kwa CHADEMA?

M4C ngapi nimeshiriki,Midahalo mingapi nimeshiriki kama kamanda wa CHADEMA?
NARUDIA TENA KUTUMIKA KAMA HUKU KUCHAFUA WATU NI KOSA KUBWA SANA NDANI YA CHAMA,TUHESHIMIANE

Nilisema sitaingia kwenye huu uzi lakini Post hii ya Tuntemeke imesababisha nicomment.
Tulikuwa tunahangaika sana kujua Tuntemeke ni nani lakini Mungu leo kamuumbua mchana kweupe.

Makamanda wote someni hii Post mumjue mtu ambaye kila leo anawatukana matusi ya nguoni viongozi wetu Mbowe na Dr Slaa.

Mkuu Shardcole na Ben Saanane nadhani mmenipata.
 
Last edited by a moderator:
Mamuya vipi mmefikia wapi ule mpango wenu wakumpindua babu ili mbowe agombee urais 2015?
Mala ya mwisho mlikaa nyumbani kwa mbowe ile siku ya m4c
Vipi kifuatacho mtakaa wapi .

Duh, Haya sasa ni makubwa.

Mh. Zitto Kabwe yeye anatangaza hadharani bila kujua kama wenzake wameshuka chini kwa chini na askari wao wa miguu badala ya 'chopa'.

Inanipelekea kuamini kuwa uongozi kwa serikali ya Dr. Jakaya Kikwete kimeifanya ofisi ya Rais wa Tanzania kuonekana kama ni sehemu ambayo kila mtu anaweza akafanya kazi hasa pale anapofikili kuwa ana mtaji wa kisiasa katika chama chake.


Fikra kama hizi kwa sasa zinaanza kuwa ni kichocheo cha minyukano na makundi ndani ya vyama.

Kama itaendelea hivi huku ofisi ikionekana ni rahisi katika fikra zao, kuna hatari wakajikuta wanakosa vyote (political loser) kwa sababu wananchi siyo wajinga kwa kiasi hicho cha fikra zao.


Ama kweli, kufikia 2014, tutaona na kusikia mengi katika vyama vya siasa Tanzania.


Yetu ni macho na masikio.

 
yaaani zito kutokua wa ukanda ule halafu kutangaza kugombea ile kitu inawauma hawa jamaaa duuu,chadamu hakuna chama pale ni kijiwe tu
wakati katika chadema nzima jembe zaidi ni zito lakini wanataka wamuhujumu.au naye fisadi? Halafu hapo juu umekosea kidogo.si chademu ni chadema.
 
immaturity tupu kwa mleta post

Unachofanya ni kujivua nguo kwenye uwanja wa mpira

JUST HOW MUCH WERE YOU PAID?? AND WHY NOW KAMA HII KITU ULIKUA NAYO KWA ZAIDI YA MWAKA MMOJA???

KWA VIJANA WA NAMNA HII NI BORA KUWARUDISHA AKINA KINGUNGE, MTEI NA HATA ALI HASSAN MWINYI KUJA KUONGOZA NCHI............. VIJANA WANAZIDI KUJIDHIHIRISHA KWAMBA NI KRAPS!!
 
kama angekuwa mwanasiasa makini asingetumia jamii forum na kukutumia wewe kueleza haya mambo badala yaje angetumia vikao vya chama kueleza haya mambo! Huu nao ni utumbo na unafiki wa Ben
Mhh nahisi kitu flan apa kati yako na Ben
 
Dawa ya kuiokoa cdm ni kuifanya kuwa na sura ya kitaifa kwa kawaondoa kwenye uongozi lile tabaka la watu wa kaskazini ambao kazi yao kubwa ni kijiprotect kuliko kujenga chama.
 
Nilisema sitaingia kwenye huu uzi lakini Post hii ya Tuntemeke imesababisha nicomment.
Tulikuwa tunahangaika sana kujua Tuntemeke ni nani lakini Mungu leo kamuumbua mchana kweupe.

Makamanda wote someni hii Post mumjue mtu ambaye kila leo anawatukana matusi ya nguoni viongozi wetu Mbowe na Dr Slaa.

Mkuu Shardcole na Ben Saanane nadhani mmenipata.

Tufafanulie ni nani huyu mtu TUNTEMEKE??
 
Gwakisa unamaanisha nini kwamba watu wa mbeya wametengwa?Kuna sababu za msingi za kufanya hivyo?Na Je haya malalamiko ya kwamba wewe na wenzako mmetengwa kisha wakina Ally na James wakapewa nafasi umeyasilisha kwenye Ngazi husika?Coz kama wewe kweli ni Mchadema na unapenda kuona CDM inafikia malengo yake 2015 haya unayoyafanya usinge yafanya.Gwakisa:Haki inakwenda na Wajibu wakati unadai haki basi pia ujue na wajibu wako.
Nilichofurahishwa nacho hapa ni yeye kuja kukubali ya kwamba alikuwa anafanya usaliti na anaongozwa na Zitto. Na ndi maana ameonyesha dalili zote ikiwemo kuonyesha ubaguzi wa kikabila na kuupinga uamuzi wa ngazi za juu wa chama wa kuwashirikisha wale wote waliotoka vyama mbalimbali na kujiunga na chadema kama vile Ally Bananga, James Milya, Profesa Safari katika operation mbalimbali za chama kwa kigezo eti wao wameingia chama juzi na wao walikuwepo siku nyingi wakati uwezo wao wa kujenga hoja ni mdogo na hawawezi kuwafikia hawa wanaosema wameingia chadema juzi.
 
Hii sredi imejaa ukweli na inaelezea hali halisi ya wasaliti wanaoongozwa na Zitto. Hongera sana bwana Saanane kwa kuliweka taifa lako mbele.

TUNTEMEKE,
Kiboko angalia anavyowachezea.
Mkuu Ritz unaweza kumwita kiboko, mkali, mzuri, shujaa lakini mimi na wewe tunakubaliana kitu kimoja ambacho pia umepost leo kuwa Vijana wa Chadema njaa zinawasumbua.

Huyo Tuntemeke amekuwa akiwatukana viongozi wa Chadema tena viongozi waandamizi mara kwa mara. Na kila matusi ya Tuntemeke yanapopata mashiko kipropaganda na Nnauye Jr Zitto ama atakuwa safari au ataanzisha safari na zote huwa za nje ya nchi.

Kwa nini Zitto hakujikung'uta na hao waasi? Kwa nini hakujitokeza hadharani kusema anakubali kuungwa mkono na kina Gwakisa lakini haungi mkono harakati zao za kukichafua chama?

Tunte amefanikiwa kuwanyima watu usingizi lakini huoni sasa kuwa ni mbio za sakafuni?
 
Last edited by a moderator:
Zitto ni kiongozi mkubwa na muhimu sana CHADEMA, kwa wale wanaokipenda hiki chama hebu jaribuni kuweka maslahi ya chama kwanza kabla ya mambo yenu mengine..

Nani aliwaambia Zitto akichafuka CHADEMA kitasafishika?
Amin amin nawaambieni kama itatokea Zitto akarudisha kadi kwa Jk tegemeeni mpasuko wa kutisha CHADEMA!!

Au ndo mnachokitaka? TAFADHARI MH ZITTO WAPUUZE HAWA WATOTO

Acha kupiga umbea hapa wewe! chadema siyo zitto na wala Zitto si chadema. Zitto ni muhimu kwa chadema ndiyo, tena sana tu, kama walivo wanachama na viongozi wengine lakini Slaa hana ubavu wa ku-determine fate ya chadema sembuse zitto??!! mnampa bichwa huyu jamaa buree, mwishoni atajitia kuruka kama kumbukumbi lakin ataishia kuliwa na mwewe. heri ajikalie zake ukokani tu...acheni kumdanganya
 
Vyama vya bongo,hakuna chenye itikadi inayojenga utaifa na ambayo imekubaliwa na wanachama wote kama ilivyo kwa nchi zingine ka ujerumani,badala yake wanachama wanalazimika kufuata itikadi za viongozi ambazo zinakinzana kwa namna moja ama nyingne huku zikipendezeshwa na maslahi binafsi hasa uchu wa madaraka.kwa mtindo huo kina zitto hawataisha ktk vyama vya bongo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom