Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

Status
Not open for further replies.
CHADEMA kama chama kilikuwa bado hakijakuwa tried & tested pamoja na kwamba kuna baadhi ya viongozi wake wameisha onja joto kali la kisiasa. Kama kuna viongozi, wanachama na wapenzi wa CHADEMA walikuwa wanafikilia kuwa CHADEMA is immune and everything is fine and rosy huku wakifurahia mnyukano ndani ya CCM bado wanaota ndoto za mchana.

Kwa haya yanayoanza kutokea wafahamu kama ni utangulizi wa safari ndefu na ngumu ya kisiasa ndani ya chama. Hekima na busara za viongozi na wanachama wake ndiyo kitakachokinasua kutoka kwenye tanuru la moto mkali wa kisiasa ili kiwe tayari kupewa nchi kuiongoza otherwise, it'll be just another history nchini kama ilivyokuwa kwa NCCR-Mageuzi.

Ikumbukwe kuwa, Mtaji wa kisiasa huzaa ubinafsi na ubinafsi huzaa makundi ndani ya chama hasa kwa chama ambacho kinakuwa hakina nguzo imara katika kanuni zake, maadili na itifaki.

Jaziba, matuzi, lawama, kejeri na kunyosha vidole hakuondoi ukweli halisia bali kinaongeza tatizo halisia ambapo matokeo yake sina haja kuyasema.
 
Vijana njaa itawaua mwaka huu yani mnadiriki kutumia ID zaidi ya 20 kuchafua chama mitandaoni?

Thanks modes wetu.......
 
Mmh, Kama Saanane aliwahi kuwa msaliti hawezi acha, kapumzika tu
Ukila nyama ya mtu huwezi acha, utakula tu-sosi??
 
Wamenibagua mimi na wana mbeya wenzangu
Juliana shonza
Mwampamba
Oparation zote wanaenda wachagga waliohamia chama juzi ally bananga na james millya wanatuacha sisi tuliokijenga chama kwa mda mrefu
Soma gazeti la mwananchi la leo wameandika eti ally bananga ni kiongozi
Hahaaa ndo maana tuna imani na zitto maana yeye ni mtengwa mwenzetu hawezi kutuacha wala kutukimbia tunamwaminia tunamuhitaji
Hata kwenye ziara zake za ujenzi wa chama huwa hatuachi tunaenda naye!
Zittooooooooooooooo wewe ndio kimbilio la wanyonge masikini

Gwakisa unamaanisha nini kwamba watu wa mbeya wametengwa?Kuna sababu za msingi za kufanya hivyo?Na Je haya malalamiko ya kwamba wewe na wenzako mmetengwa kisha wakina Ally na James wakapewa nafasi umeyasilisha kwenye Ngazi husika?Coz kama wewe kweli ni Mchadema na unapenda kuona CDM inafikia malengo yake 2015 haya unayoyafanya usinge yafanya.Gwakisa:Haki inakwenda na Wajibu wakati unadai haki basi pia ujue na wajibu wako.
 
Na haya yote kuhusu Zitto yanaweza kuwepo lakini hayana uhakika. Huwezi kumsulubu mtu kwa swala ambalo halina uhakika. Kama kuna evidence, tafadhari mwaga hapa kamanda. Mi naona huyu Zitto twende naye hivi hivi kwa maslai ya chama. M4C inatisha na hakuna wa kuisimamisha. Kama kweli Zitto anafanya haya, ajue watanzania wanataka mabadiliko, asipo kuwa muangalifu wanaweza kumchinja hazarani.

Samahani kwa radical comment, lakini ndio ukweli. Watu wanataka ukombozi harafu unawazingua. Nacho kiona ni mauti kwa msaliti, sana sana mtu ambaye yupo ktk uongozi wa juu kabisa. Namshauri Zitto kama haya ni ya kweli awe muangarifu na aache haraka. Kwenye ukombozi kuna muda watu hawatumii logic, ni emotional. hivyo basi, asije akashangaa anachinjwa hadharani.

Ni mawazo tu sio vitisho. Na hilo ndilo ninalo ona mimi kwa mtazamo wangu.

Umenena vema mkuu. Tatizo ni pale role model wako anapokuwa ni Dr Kikwete (Baba wa mitandao)
 
Kuwa mkweli usipotoshe historia labda useme ulikwa bado mdogo, mfumo wa vyama vingi ulipoanza rasmi, mwl.nyerere kwa kauli yake alisema; nimepitia katiba za vyama vyote chama makini ni kimoja tuu.NI CHADEMA pengine pitia machapisho zaidi utabaini CDM haikuwahi kuwa at elvel of personal NGO

Ukitaka kujua kama iliundwa kama NGO, hebu tuambie uhusiano unaoujuwa kati ya muasisi (MTEI) na Mbowe.
 
Hii sredi imejaa ukweli na inaelezea hali halisi ya wasaliti wanaoongozwa na Zitto. Hongera sana bwana Saanane kwa kuliweka taifa lako mbele.

Hakuna asiyejua kuwa Zitto Zuberi Kabwe ni msaliti. Yeye anaungwa mkono na Habibu Mchange na Burton Gwakisa. Hawa ni wasaliti.Lakini,hata Yesu aliishi na wasaliti hadi mwisho

Ona hapa Zitto anavyohusika...


MKUU hii email nimeipokea na kuiweka kama ilivyo.
zitto ni rais kwa kusini mwa tanzania,Mhh kijana anakubalika kweli kweli.Dalili za mvua ni......_____________

Zitto anangekewa????Duhh kutoka Kigoma to Mtwara anaitwa Rais?Hongera zitto kabwe,unaonekana wewe si mtu wa kawaida nchini

Rais Bungeni,Kusini Mwatanzania,Kigoma na mwaka 2015 siatakuwa rais wa nchi nzima!!!!

Mkuu chadema wote wanashinda humu.nadhani ujumbe umewafika wote.Amemuagiza Zitto kwa sababu amesema nanukuu
"Muheshimiwa rais mungu amekujalia wewe binafsi kuwa na huruma hebu tuhurumie sisi vijana wa Mtwara, hebu tumia hiyo huruma yako kuiokoa Tanzania, hebu tumia huruma yako kuondosha balaa, na katika hili usimuamini mtu njoo uongee na sisi wamachinga, uongee na sisi bodaboda na wengine wengi"

Salama kabisa mkuu Shard Cole.
Naona bila kumtaja Juliana Shonza huna raha.
Watu wa mtwara wamepeleka kilio chao kwa rais wao Zitto kabwe we unaanza kutaja taja majina ya watu.
Au hujui kwamba Zitto ndie rais ajae?
Mikoa yote ya kusini watampa kura maana Mbeya mlikokuwa mnategea ndo washamshtukia mzee wa kadi mbili mbili.
Kanda ya ziwa wazee wa kura nyingi wao mnawajua msimamo wao kitambo.

Hiyo Arusha mnayoitegemea hamuwezi pata kura zote mtagawana na Zitto nadhani mnakumbuka mapokezi ya rais ajaye Karatu miezi michache iliyopita!
Zitto go go go goooo!
your votes count!
Your votes count!

Ni kweli mkuu rais anajulikana.
Tzzk 2015

sio kupoteza maana.ukweli ni kwamba zitto anaonekana kukubalika kitaifa zaidi from kigoma tu mtwara..muda si mrefu utasikia rombo

umenena vema mkuu ni zamu ya Dr. Slaa kumsaidia Zitto kampeni 2015 maaba yeye ameshawasaidia Mbowe na Slaa.
Ila tumuombe arejeshe kadi yake CCM kwanza.

Tutashauriana na chama tufanye tena ziara kusini, ziara ya kusikiliza wananchi

There are currently 98 users browsing this thread. (31 members and 67 guests)

  • Muumini safi,
  • idawa,
  • Zitto, (nakuona Mh.Rais unakula jaramba hapa,Hongera sana mkuu naona umeteka ngome kusini mwa Tanzania,Hapo hujafanya ziara,je ukifanya ziara huko?)zitto mbona unakubalika sana,unapaka mafuta gani wewe?
  • Welu,
  • Quadrat Jr,

wewe hunauwezo wa kumzuia Zitto kuingia Ikulu,Kigoma nadhani wana kucheka kuona unapita mtupu karikaoo mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
ZItto ni next level

Umetumwa wewe,Huna hoja unatapatapa tu.Ukiulizwa unachojadili ninini?kinamaendeleo gani kwa taifa hunajibu zaidi ya kuchekacheka.
Zitto ametukuka huko mtwara kapewa ujumbe wake,Wewe na nape kaeni chonjo,2015 ikulu hiyo

Zitto Zuberi Kabwe anakubalika sana pande hizo!
 
Ninachoipendea CHADEMA, huwa inamuacha kila msaliti ahukumiwe na umma, vikao vya chama havimjadili Zitto,lakini umma unawajadili na kuwahukumu. wapi Shibuda?
 
Dawa kuchanana tu Wewe umetumwa na Mbowe au?

Toka hapa na uzushi wako,hakuna cha uzalendo wala nini ni walewale mnaitaka kumchafua Zitto na tutamlinda mpaka dakika ya mwisho,akiondoka na sie tunaondoka tumechoka na uzushi na ujinga wenu
 
Last edited by a moderator:
dawa sio kumchinja. vip, tumeshndwa kupata solution kama anaturudisha nyuma? solution ya kuchinjana inafuatiwa na kuchnjana zaid. na kwakweli wapo wengi wanaotuudh zaid ya zito kama mafisad etc. vip, tuanze na yupi?
 
Huu uzi unashiria mpasuko mkuu kwa chama changu chadema 2015 tutafika kweli? Vijana wanataka mabadiliko ila sio wavumilivu ni rahisi kununuliwa na kura yangu sitompa kijana yeyote najifunza mengi hapa
 
Mara ya kwanza kulisikia jina Saanane ilikuwa ni katika uchaguzi wa BAVICHA miaka kadhaa iliyopita ambapo uchaguzi huo ulimpa ushindi bwana John Heche.

Pole yako, ikiwa hata kisiwa cha Saanane, maarufu Tanzania nzima, kipo ziwa Nyanza aka Victoria, hukijui. Halafu nyinyi ndio wa kwanza kutokuona maendeleo, kumbe hata kujijuwa mlikotoka hamjijui.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom