Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,258
Hakika umenena Mapenzi shida Pesa ndio kabisaDunia sasa hivi inasumbuliwa na mambo mawili tu PESA na MAPENZI mengine yote mbwembwe tu.
Hakika umenena Mapenzi shida Pesa ndio kabisaDunia sasa hivi inasumbuliwa na mambo mawili tu PESA na MAPENZI mengine yote mbwembwe tu.
Nakubaliana na wewe mkuu na ndiyo maana wahenga walisema ''kikulacho kinguoni mwako''Binadam ameumbwa kuwa msahaulifu sn fikiria maumivu tunayoyapata ya kufiwa au kudhulumiwa kwa namna yyte ila mwisho utasahau maumivu ya moyo yatapoa pumzi itashuka.je tusingekuwa tunasahau maumivu yaliyotokea tusingeishi mda mrefu
Ndivyo ilivyo binadam anasahau mabaya na mazuri yaliowahi kumtokea na si ajabu mtu uliemsaidia kwa hali zote ht alitaka kuuliwa akakugeuka baadae kutaka kukuua ww.mama yako amekulea miaka yote kwa shida ila kuna watu wanawatoa kafara kuwafanya mi sukule mama zao na kusahau mama alimvyompigania hadi kufika hapo
Mapenzi yanaingoza dunia kwa sasa.Hakika umenena Mapenzi shida Pesa ndio kabisa
Wasipoangukia kwenye mapenzi wanadakwa kwenye pesa maana nimeona Mapadre wengi wakiwekeza miradi mingi sana sasa kama kweli hawana familia wanawekeza kwa ajili ya nani?Itategemea tafsiri yako ya mapenzi imeegemea upande upi...Kuna watu kutokana na kazi zao hawaruhusiwi kuwa na wapenzi mfano Mapadre...
Hapo Upendo wanaelekeza kwaajili ya jamii nzima maana wanakumbwa sana na UPWEKEWasipoangukia kwenye mapenzi wanadakwa kwenye pesa maana nimeona Mapadre wengi wakiwekeza miradi mingi sana sasa kama kweli hawana familia wanawekeza kwa ajili ya nani?