Huwezi kupata kila unachotaka....

Huwezi kupata kila unachotaka....

Aggggrrrrrrr!!! Maisha sio fair kabisa, na ukipata karibia na vyote pia havidumu. I miss you my F.
Sasa inabidi tujumlishane tu ili angalau upate kidogo kidogo.

Hahahaaaa! Nimecheka hapo eti utafikiri anapambana na umasikini.
 
Look beyond mambo madogo madogo and into the future. 1

Time is never on our side as women kuwajaribu wote hao.

Choose one ukijua kwamba hamna alie perfect katika hao. Choose one ambae moyo wako unajua kabisa unaweza kuishi nae mkawa na future na ukavumilia mapungufu yake. I would do this if it were me.

Pia kumbuka mtaka yote hukosa yote. Narrow down your needs and desires.
 
Back
Top Bottom