Huwezi kumchunga mwanamke!

Huwezi kumchunga mwanamke!

Itakua jamaa ana hela halafu bibie akaona fursa ila moyo uko kwa ntu mwembamba.
Kiukweli jamaa mambo yake siyo mabaya upande wa fedha yuko vizuri,sasa hivi wana watoto watatu wanaishi uganda
 
Kiukweli mwanamke huwezi kumchunga bali yeye akiamua kujichunga mwenyewe na kukuheshimu.
Ilikuwa mwaka 2006 pale demu wangu tuliyependana sana aliponieleza kuwa amepata mwanaume wa kumuoa kipindi hicho naishi bukoba,kwakuwa nilikuwa sijajipanga kuoa nilimuruhusu bila kinyongo ila aliniahidi kamwe penzi letu halitakufa.
Siku moja nikawa na shida ya elfu 70 nikampigia simu na kumueleza,akasema usijari ngoja nifanye makeke,kwa mujibu wake kilichotokea ikawa hivi:
Alimdanganya mume wake kwa njia tofauti anavyojuwa yeye ampatie pesa ikashindikana,ikapita kama siku tatu hivi,ilipofika usiku kama saa tano hivi akachukua vicks dawa ya mafua akaipaka kwenye kope za macho afu akaanza kudai tumbo linamsokota,akajinyonganyonga weee huku macho yanatoa machozi kutokana na ile dawa (vicks).
Mume wake akaamua kumpeleka hospitali,hapo alikuwa na mimba changa,basi banah! kufika huko kumbuka mgonjwa ndiye anayeingia chumba cha dokta,alichofanya akampa dokta elfu tano na kumwambia yeye haumwi ila anataka kwenda kijijini so kwakuwa ana mimba changa ampe dawa za kuzugia pia amshauri mumewe kuwa ni vizuri akitumia pia dawa za kienyeji,dokta bila hiyana akafanya hivo.
Haooo! wakarudi home,kesho yake akamuandalia laki na nusu huyoo kijijini wilaya ya muleba kamachumu.
Kesho yake akanitumia laki moja na kuniambia mimi ni mwanamke nina mbinu za kila aina.
Kiukweli nilichoka kwa mbinu aliyoitumia,hadi leo nikikumbuka hata mke wangu huwa simwamini.
Wanawake siyo watu wa mchezo.
Hadithi yako nzuri kakufundisha nani totoo
 
Sijaona uhusiano wa story yako na ajenda ya kumchunga mwanamke.......

Au nyie ndio wale madenti mliokuwa mnafeli somo la kiswahili katika uandishi wa insha?!
 
Haaaaaaa bado haitasaidia maana hutaona MTU akileta kizuizi cha ndoa kanisani ila ukifunga tu michepuko inaendelea
 
Sijaona uhusiano wa story yako na ajenda ya kumchunga mwanamke.......

Au nyie ndio wale madenti mliokuwa mnafeli somo la kiswahili katika uandishi wa insha?!
Labda pengine hujanielewa,imajini mtu kamuomba pesa akamunyima afu katumia njia nyingine ambayo haiwezikani kuikwepa, je akitaka kwenda kwa mchupuko hata kama unambana kwa hiyo mbinu hata kama ni wewe hutaingia king?
 
Back
Top Bottom