Huwezi kumchunga mwanamke!

Huwezi kumchunga mwanamke!

Wanaume wenzangu niwaombe jambo moja, hebu badilikeni muanze kuandika mambo ya kujenga juu ya wanawake ili na sisi ambao hatujaoa tushawishike kuoa. Mambo ya kila siku wanawake hivi, wanawake vile kwa kuwaponda eeeeh! Mnatuvunja nguvu ya kuoa
Hivi vitu zamani kama umeoa unakaa na mzee mzima ambae nae ameoa ndo mnapeana hali za maisha hususani ndoa kwa kuwa ukizungumza na kijana ambae hajaoa haya mambo yanamkatisha tamaa, nliwahi kusikia story kuwa mke wako unapokua nae kitandani ndo anakuwa wako akitoka si wako, maana yake ni kuwa usaliti ulikuwepo tangu zamani ila ulikuwa hauzungumziki kwa vijana wanazungumza walio oa pekee saiv mitandao ndo imeweka wazi na ndo mana vijana hawataki kuoa
 
Sasa kama anakupenda kwanini alienda kuolewa? Yani mi nitoe hela ya mume wangu nimpe mchepuko?? Mscheewwww.
Hapo ndipo wanawake wanapobugi....nikigundua atapata tabu sana atajilaumu kwa nn alikutana na mimi
 
Back
Top Bottom