Sasa kama anakupenda kwanini alienda kuolewa? Yani mi nitoe hela ya mume wangu nimpe mchepuko?? Mscheewwww.
Mimi siwezi labda niwe sina ties nae za mapenzi naweza kumsaidia lakini bado unabutua unachukua pesa kwa mkeo unampa zilipendwa no that doesn’t sit well with me
Labda kama huna helaSasa kama anakupenda kwanini alienda kuolewa? Yani mi nitoe hela ya mume wangu nimpe mchepuko?? Mscheewwww.
Labda kama huna hela
Kumbuka kuwa dokta alipewa kwanza elfu tano ili tu amshawishi jamaa!Hospitali gani hiyo Daktari anakushauri utumie pia dawa za kienyeji
Hii Story umetunga
Yani yeye wakati wanaenda hosptali ishu siyo mimba,alidai tumbo linamsokota sana hapo analia na machozi yanachuruzika kumbuka hapo alikuwa kapaka vicks kwenye kope lazima utoe machozi.Ni hospitali gani hiyo ambayo ukienda mume na mke daktari anamwambia mmoja akae nje tena ishu yenyewe mimba
Mengine unafumba macho ndgNikikutanaga na story kama hizi mawazo ya kuoa yanazidi kupotea,Mungu nisaidie tuu mjaa wako ...
Sasa kama anakupenda kwanini alienda kuolewa? Yani mi nitoe hela ya mume wangu nimpe mchepuko?? Mscheewwww.
Kwa kweli siwezi kumtukanisha matusi mume wangu kiasi hicho. Kama ndo anampenda sana huyo ex wake angemrudia tu waoane. Mambo mengine unajidharaulisha wewe mwenyewe afu bado unamfanya mumeo aonekane boya tu. Kukosa akili huko
Jibu swali la hapo juu, unaulizwa kua ni hospitali gani hio ambayo mkienda mume na mke kwa ishu ya mimba anaingia mmoja na mmoja anabaki nje?Yani yeye wakati wanaenda hosptali ishu siyo mimba,alidai tumbo linamsokota sana hapo analia na machozi yanachuruzika kumbuka hapo alikuwa kapaka vicks kwenye kope lazima utoe machozi.
Kuingia chumba cha dokta aliingia peke yake na kupewa elfu tano ili aseme uongo kwa kuwa pia ana mimba changa dokta naye akashauri huo ujinga.
Nadhani umenielewa
Pole sana dada G.Leo sijagusa kabisa. Nimeumwa aisee hata harufu nikisikia natapika. Nimepata nafuu muda si mrefu
Pole sana dada G.
Get well soon.
Unasema tu wewSasa kama anakupenda kwanini alienda kuolewa? Yani mi nitoe hela ya mume wangu nimpe mchepuko?? Mscheewwww.