Huwezi kula muwa bila kukuta fundo....

la Jeneral

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
392
57
uzoefu wa maisha hasa ya mapenzi inasadikika kwamba mnapogombana na kupatana ndo kuimarika kwa mahusiano na maisha ya furaha,je kuna ambao wapo kwenye mahusiano ambayo nimteremko tuuu,i mean hawagomban?nini siri ya mafanikio,nawasilisha
 
Halafu kabishe hodi kwanza....! Unaingia tu hadi kwenye chumba cha wakubwa, hata sebuleni hujapitia......?
Most of the times, experience does not be built only by the duration spend in a certain area.....! but normally it comes out of challenges faced, approaches used to deal with them, situations they happened, number of often to happen, and success attained against them....! Your face would show that you might have experience on this, but may you tell us how often you find these misunderstandings, what types, and how did you go about them? Aidha, umekata tamaa na hivyo ikakulazimu ukubaliane na situation....!
 
Ile inayouzwa barabaani kwenye mifuko haina vifundo mkuu!
 
hiyo ni kweli kabisa kwa sababu watu hatuko perfect. Chamsingi nikuhakikisha ni kupungusa misuguano kwa mmoja wenu kujishusha na kujifanya mjinga. hiyo ndoa itadumu. lakini kila mmoja akijifanya much know hapo patachimbika
 
Ni kweli kugombana/kutofautiana ni hatua ambayo uhusino wowote ili uwe strong lazima upitie,wakati mwingine ni muhimu kwa kuwa inatusaidia kujua partners wetu wana-behave,manage vipi tofauti zilizojitokeza,je wanasikiliza upande wa pili?je wanaheshimu mawazo tofauti na yao,je upendo wetu ni zaidi ya wakati wa furaha au hata kwenye ugomvi bado unatuweka pamoja???etc etc.:plane:
 
Halafu kabishe hodi kwanza....! Unaingia tu hadi kwenye chumba cha wakubwa, hata sebuleni hujapitia......?
Most of the times, experience does not be built only by the duration spend in a certain area.....! but normally it comes out of challenges faced, approaches used to deal with them, situations they happened, number of often to happen, and success attained against them....! Your face would show that you might have experience on this, but may you tell us how often you find these misunderstandings, what types, and how did you go about them? Aidha, umekata tamaa na hivyo ikakulazimu ukubaliane na situation....!

jamani jamani kona kali..
akabishe hodi ya nini mkuu..
jamaa tayari yuko hapa tangu mwaka jana lol.
 
Mie najitoa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:shock:
 
Back
Top Bottom