Omuchimati
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 427
- 202
Nampa heko rafiki yangu mpendwa Rais wangu John Pombe Magufuli anavyochukua hatua kila kukicha kupamabana na uovu uliokithiri ndani ya Taifa lillosifika kuwa la wapenda amani, lakini ilibaki kidogo tu amani hiyo kupotea kutokana na mambo jinsi yalivyokuwa yanakwenda mrama, nakupa heko sana Rais wangu kwa kuwarejeshea watanznia Imani mpya iliyokuwa inaelekea kupotea miongoni mwetu,
Kulingana na kichwa cha habari hapo juu kinavyosema, nimesikia maneno watu wakisema, wengine wamediriki hata kutukana kuwa hatua anazochukua Mhe Rais zinahumiza zinawafanya watu kuwa waoga katika utendaji wao wa kazi haswa watumishi wa umma, mimi namsifu sana MHE POMBE MAGUFULI KAZA UZI PALEPALE USIACHIE MKUU, wewe unaijua mbichi na mbivu kwani umefanya kazi serikalini Zaidi ya miaka ishirini, naaamini katika baraza lako kama kuna mtu amehudumu kama waziri Zaidi ya miaka ishirini, sidhani kama yupo, we unajua ni namna gani nchi hiii ilivyotafunywa na majangili yenye uchu wa madaraka na mali, usitishwe na kelele za wajinga yakamue majipu , mengine hata kama ni kukata mguu wa mgonjwa we kata tu mkuu, nchi ilifika pabaya haswa,
Tazama miradi yote ya maendeleo ambayo haijafanikiwa, wamulike wale wote wenye biashara kubwakubwa lakini hakuna uhakika wa vyanzo vya mapato yao, mulika halmashauri na manispaa zote za majiji waulize zile pesa wanazokusanya za ushuru wa usafi ili hali miji imejaa uchafu huwa wanazipeleka wapi?, wamulike vijana wanaokesha kwenye kumbi za starehe wakinywa na kustarehe kwa gharama kubwa ili hali hatujui vyema vyanzo vyao vya mapato.wewe waijua vizuri mbivu na mbichi,
Wamulike vizuri wauza unga wote, nasikia wameanza kukutishia kukuhujumu wewe na waziri wako wa mambo ya ndan, najua ni ngumu sana kupambana nalo hili sababu wengine walikitumia hicho kiti ulichokalia kwa matakwa hayo ya kuwabeba watu ambao wameharibu vijana wa Tanzania, wengine walikuwa wameshakuwa vioo kwa jamiii lakini leo hawatazimiki , kwa vile alianza kuubeba kwa kutumwa, akatamani kuonja mwisho amekuwa teja. usimwogope MKUU WE MNYOFOE TU WATANZANIA WATAKUKUMBUKA NA KUKUOMBEA MKUU, hawajui kupambana na wewe wanapoteza mda wao, we umesema "NIMEJITOA SADAKA KWA WATANZANIA, NAOMBA MNIOMBEE" wameshindwa kutambua kuwa we ni sadaka, tena sadaka takatifu iliyopokelewa na mwenyezi MUNGU.
USIKATE TAMAA JPM,PAMBANA NAO MPAKA MWISHO, WEWE NDIWE UNAJUA MBICHI NA MBIVU.