Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa

Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,158
Reaction score
48,421
Unapotamani kwenye chaguzi za CCM kusiwepo na rushwa au upendeleo, ni kama unataka kusema CCM isiwepo!

Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa halafu CCM ikaendelea kuwepo. Rushwa kwa wana CCM wengi ni kama ndiyo damu na pumzi inayoifanya CCM iwe hai.

Siasa za ndani ya CCM zinahitaji Hela nyingi mno kuziendesha. Na matumizi makubwa ya Hela hizo huwa kwenye kutengeneza mitandao ya wapambe, kuhonga wajumbe wa vikao vya maamuzi na mwisho wa siku kuhonga wapiga kura za maoni.

Kwa kweli hapa ilipofikia CCM haiwezekani kuitenganisha na rushwa. Humphrey Polepole aelewe hilo.
 
Wako Pamoja Na Mpaka Mwenyekiti Anajua
 
1754387291988.jpeg
 
Sasa hivi kumezariwa utekaji
 
Safari hii Wajumbe walishajiapiza kwamba Mwenye hela ndiye atakayechaguliwa.

Wanasema kama Viongozi wa juu wanagawana mauzo ya Nchi wao wafanyeje?

Kwa mfano, Aliyeshinda Temeke alianza kugawa hela miaka mitatu iliyopita, na ndio wajumbe wakamchagua.

William Lukuvi huanza mchakato wa Ubunge Ujao mara baada ya kuapishwa tu, wanadai mshahara wote wa ubunge wa miaka mitano hutunzwa kwa ajili ya kampeni, anaweza kulipa vilabu vyote vya Ulanzi hadi miezi 6 jimbo zima ili wananchi wanywe bure
 
Uko sawa kwa asilimia 100. Jimbo la Rorya ndiyo kumetisha kwa rushwa.
Jafary kagawa sana Mlungula hapo Rorya?
Nasikia kila mjumbe alikuwa anapewa 50K, hawa wabunge wana pesa aiseee duu. Imagine 50K kwa kila mjumbe kwa wajumbe 6000
 
Siyo Hela nyingi (Kwa wao) maana kama wanakwapua hadi shilingi trilioni 1.8, hizo shilingi milioni 300 ni kitu kidogo kwao.

Unakumbuka Profesa. Ana Tibaijuka aliwahi kusema shilingi bilioni Moja ni Hela ya mboga tu😀😆😃
 
Jimbo la Itilima Simiyu ilikuwa balaa, Njalu amegawa pesa Hadi unajiuliza huu si mtaji tosha? Anahangaikia Nini? Ukiongezea na umaskini pamoja na ujinga wa wanaitilima jamaa kaibuka kidedea. CCM kama Hauna Hela hata wajumbe watakushangaa na kukuzomea pia.
 
Rushwa na CCM Ni km Mwili na Damu haviwezi tengana Km Wagombea Ubunge Kuna Mmoja Alikua anaimba Wembe ni ule ule Yule Muhindi aloalikwa kuchangia CCM pale Mlimani city Kuna Kiongozi namba 3 na Namba 4 Wanapokea Sana Milungura toka kwa yule Muhindi na Mwenyekiti anazungukwa Hajui na Mtetezi mkuu Wa huyo Muhindi ni Namba 3na 4 Ukiangalia chaguzi za Viti maalum ndio balaa Wagombea wanahonga Wajumbe Majiko ya gas vitenge na Laki 2 Yani kiujumla huu ndio Uchaguzi wa Kura za Maoni ulotumia Fedha chafu tangu Nchi iumbwe
 
Back
Top Bottom