Huwezi kuamini picha hii ya tatizo la umeme nchini...

Jamani hii kali, hivi Ngeleja ameona hii? umenichekesha sana MMK
 
hahahahaha inapendeza.. wangetumia watu wa tanesco katika matangazo yao
 
MMk ngoja nitafute PowerPoint nikaifanyie Presentation pale bungeni fasta hio picha hapo kwa niaba yako

walioshika waya nadhani ni Pinda na Upande wa Pili ni Bunge na anayecheza ni Ngeleja...............duh
 
Hiyo nguzo ya pembeni kulia inatamani nyaya zake zikatike ili nayo iingie kuruka ha ha ha ha ha ha
 
0008054bciz.gif


Wengine wataaamua kama tutafika!!

Kama vile jiwe la Ukara!!
 
ukiskia mtu anakwambia umeme unacheza basi pata picha hapo. nimecheka kweli.
 
Wizara ya nishati na madini imekuwa mgodi wa kuvuna mahali tusipopanda...watu ni kula wenyewe tu bila kuchoka
 
  • Thanks
Reactions: Aza
ha ha ha ha ...inachekesha na kuhuzunisha .........hakuna kuchoka mpaka waya zikatike......mkuu wa kaya anatakiwa kuiona hii
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Mabawa yote yanayozalisha umeme ,mtera,kidatu yametoboka/ yanavuja tutafute wataalamu wa kuziba kwa chini.hata mabomba yanayosafirisha gas yameziba ,milingoti nayo inasumbuliwa na ,upepo sana,wanatafutwa wawekezaji kuimarisha nguzo zisichezecheze tena.saidia na omba tenda
 
Makubwa nilikuwa sijaona kuwa umeme stimu zinavyocheza angweke ...................
 
Back
Top Bottom