Huwezi kuamini mambo haya yapo dar!!!!

Huwezi kuamini mambo haya yapo dar!!!!

Wilaya ya Temeke ndio inayoongoza kwa ukosefu wa maji ya bomba..

Sasa jaribu kutafuta kuna majimbo mangapi ya uchaguzi huko...

watu8 napingana na wewe kwa hili. Temeke sehemu kubwa wanabahati ya ardhi yao kuwa maji ardhini tofauti na wilaya nyingine. Kwa hiyo wengi wana maji ya uwakika ya visima vya motor tofauti kabisa na wilaya nyingine that why nadra sana kusikia wanaichi wa Temeke wakilalamika maji maji kama kule kwa mnyika na mdee.
 
Last edited by a moderator:
sa unashangaa nini? maji lazima yatoke chini kwenye mchanga labda ushangae kwamba kwanini wanafanya kazi inayofanywa na mashine.
 
watu8 napingana na wewe kwa hili. Temeke sehemu kubwa wanabahati ya ardhi yao kuwa maji ardhini tofauti na wilaya nyingine. Kwa hiyo wengi wana maji ya uwakika ya visima vya motor tofauti kabisa na wilaya nyingine that why nadra sana kusikia wanaichi wa Temeke wakilalamika maji maji kama kule kwa mnyika na mdee.

mbona ni kama vile umekubaliana na watu8?
yeye amesema Wilaya ya Temeke ndio inayoongoza kwa ukosefu wa maji ya bomba, na wewe umeongezea kuwa wanachimba visima.
 
Last edited by a moderator:
Tunamabomba ya mchina tuliletewa lakini hayatoki maji, sijui kwanini waliyaweka?!
Yamesambazwa maeneo ya tegeta salasala, Ubungo tena wameweka na mita zao lakini hadi leo empty, wanachofanya wanakurushia sms kila mwezi kukutaarifu kwenda kulipa bili ya maji wakati mwaka wa 3 huu hayajawahi kutoka!!

Deni limekua kubwa ukijumlisha na zile 600,000 nahisi mwanangu anadaiwa kabla hata sijaoa!
 
.ælåø ll k j.m j ю:what::banghead::screwy:😀:beer::what:😉😎:screwy::beer::screwy:😉😉
 
Hayo ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania! Kubalini yaishe mliyataka wenyewe.
Mkuu utumbo wa kuku hata akija bushi kuongoza bado watu watakula, kuhusu swala maji Temeke angalau wamepiga hatua ukilinganisha na wilaya zingine na hasa kinondoni. Temeke hawapati maji mengi ya bomba ila watu wengi wamechimba visima, na vimejengwa vioski vingi vya maji, si rahisi kumkuta mtu wa Temeke akifuata maji nyumba ya kumi kama kazi wa kimara na mbezi. Temeke maji kama hayapo nyumba unayoishi, yapo nyumba jirani ama kwenye kioski pia hakuna siku za maji. Kimara na Mbezi hali ni ngumu hebu njooni muone Magari ya kubeba maji, yalivo tapakaa kimara hadi Kibamba na wanapeleka mitaa ya ndani, naishi Mbezi chamoto ninakiona. maji yanatoka kwa ratiba, kufua kwa ratiba sasa kama ni singo na shuguli zako zinakufnya kurudi jioni cha moto utakiona. huku hakuna visima wala vioski maji kama hayatoki bombani ndio basi.
 
watu8 napingana na wewe kwa hili. Temeke sehemu kubwa wanabahati ya ardhi yao kuwa maji ardhini tofauti na wilaya nyingine. Kwa hiyo wengi wana maji ya uwakika ya visima vya motor tofauti kabisa na wilaya nyingine that why nadra sana kusikia wanaichi wa Temeke wakilalamika maji maji kama kule kwa mnyika na mdee.

Mkuu nimetumia maneno "maji ya bomba"...

Maji ya visima hayapo kwenye utaratibu wa maji ya bomba...
 
mbona ni kama vile umekubaliana na watu8?
yeye amesema Wilaya ya Temeke ndio inayoongoza kwa ukosefu wa maji ya bomba, na wewe umeongezea kuwa wanachimba visima.

Nadhani atakuwa alighafilika tu...au alisoma maneno yangu kwa haraka kidogo bila tafakuri
 
Maji ni tatizo, bibi karagwe anatumia ya mvua mwazo mwisho, hakuna jinsi tangu miaka ya tisini mpaka sasa. Hakuna mabadiliko
 
Kwa kuwa umeileta huku siasani ngoja tuijadili kisiasa siasa..

Hivi hapa Dar Es Salaam ni jimbo gani lina matatizo ya maji sana.??
Na Mbunge wake ni nani..??

Sidhani kama Mbunge ana uwezo wa kupeleka huduma ya maji sehemu yoyote.

Ni jukumu la mamlaka husika ikiwemo Serikali kwa ujumla.

MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!!
 
CDM hebu tuambieni mwagen sera mtafanya nn maana watendaji ni hao hao ndugu zetu .
Ni kweli watendaji ni hao hao ndugu zetu. Ila mtafute ZZK atakuambia jinsi chama kinavyo chukua maamuzi bila kuangalia sura.
 
Chagua CCM 2015 tena. Mtachota maji vyooni sasa.
 
Back
Top Bottom