Huwezi kuamini mambo haya yapo dar!!!!

Huwezi kuamini mambo haya yapo dar!!!!

Ilitara kimura

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,885
Reaction score
1,865
Nilikuwa naenda kwa brother anakaa gongolamboto BANGURO pale kuna Mto unaitwa msimbazi kilichonishangaza ni kuona baada ya miaka hamsini ya uhuru wananchi wa maeneo halo hawana maji hivyo wanalazimika kuchimba mchangani ili waweze kupata maji naomba tujadili kwa pamoja Kama Dar hali iko hivyo vijijini itakuwaje maana hao inabidi wachimbe mchangani kwa sababu hawana wa kununua maji yanayoletwa na magari Ndoo sh 500/= wadau naomba tujadili Haya Ndiyo maisha bora kwa Kila mtanzania?o
 
Mbona sehemu nyingi tu za dar hazina maji, na zingine mabomba ya dawasco yapo lakini watu ukiwauliza maji yalitoka lini mara ya mwisho wala hawakumbuki. Huko vijijini wala usifikirie bado tupo nyuma sana mkuu.
 
Hayo ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania! Kubalini yaishe mliyataka wenyewe.
 
Hayo ndio ya kawaida tz hata ule mradi wa maji karatu slaa ulimshinda akala pesa
 
Dunia yako chaguo lako. Tulio wachagua watutetee wameongezeana mafao. Nchi yako inatakiwa iingie katika maajabu saba ya dunia.
 
Liwalo na liwe, wacha wachimbe si walichukua chumvi, kofia na tshirt zetu???
Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Kwa kuwa umeileta huku siasani ngoja tuijadili kisiasa siasa..

Hivi hapa Dar Es Salaam ni jimbo gani lina matatizo ya maji sana.??
Na Mbunge wake ni nani..??
 
CDM hebu tuambieni mwagen sera mtafanya nn maana watendaji ni hao hao ndugu zetu .
 
miaka ishirini ijayo vita duniani itakuwa siyo ya madaraka ila ya maji
 
Kwa kuwa umeileta huku siasani ngoja tuijadili kisiasa siasa..

Hivi hapa Dar Es Salaam ni jimbo gani lina matatizo ya maji sana.??
Na Mbunge wake ni nani..??

Wilaya ya Temeke ndio inayoongoza kwa ukosefu wa maji ya bomba..

Sasa jaribu kutafuta kuna majimbo mangapi ya uchaguzi huko...
 
ImageUploadedByJamiiForums1391109472.517576.jpg ImageUploadedByJamiiForums1391109531.340896.jpg ImageUploadedByJamiiForums1391109565.701210.jpg
 
Hii ndio Tz yetu wala usishangae.Maji na umeme sio basic needs anymore zimekuwa anasa siku nyingi sana.

Sijui ni nani alituroga tukalichagua hiki lichama
 
inasemekana wajinga wengi wa nchi hii wamejazana DAR ES SALAAM , Hata kitoweo chao kikuu ni UTUMBO WA KUKU , VICHWA NA MIGUU YA KUKU !

Huu ni ukweli mtupu ukitaka kuamini weka bonanza la pombe uone watakavyojazana.

Ndio haishangazi mpiga porojo kwenye vijiwe vya kahawa mbwiga wa mbwiguke naye ni mtangazaji kwenye redio ya mazezeta.
 
Hii mada ni muhimu sana - maji safi ni kitu muhimu sababu saha ya taifa inategemea upatikanaji wa maji safi
 
maji tu?vitu kibao kwenye hili linchi hovyo!!!!!
 
Back
Top Bottom