Huwezi amini yanayotokea hapa jioni hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huwezi amini yanayotokea hapa jioni hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Mar 25, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,769
  Trophy Points: 280
  Kongamano la new media marketing limeingiliwa na mgao waumeme yani nikituko cha mwaka nitawaeleza jamani wt
   
 2. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Walipaswa kuhakikisha kuna STAND BY Generator! Au walijisahau? Mimi nilidhani kwa kuwa ni British Council, wangeweka HATA INVERTER pale! Nini Generator?
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,769
  Trophy Points: 280
  Jamani umeme umewaka na mida hii Issa Michuzi au mfasi halisi wa ccm anatoa mada! Anachekesha tu eti anasema anajua kuwa jf tutamchana tu
   
 4. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,143
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Sioni tatizo la ajabu,hao ni watanzania na mgao uko Tanzania sasa issue ni nini? au U-FIRST CLASS TANZANIAN !!....
   
Loading...