Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
mdogo wangu unapotea mno na ww..hebu nitupie pm namba yako bas na ww kule...!le nna kikao na ww
I wish!
Ntakutafuta private.
Naomba nisiendelee.
Huko private mlifanya nini jamanikaribu sana
Dada unataka kuniozesha? Jamanimdogo wangu unapotea mno na ww..hebu nitupie pm namba yako bas na ww kule...!le nna kikao na ww



. Sawa nakuja hukooAcha tuu, nachokaga hadi nasikia kizungu zunguyaa .ht usk kuchungulia tu jaman![]()
Jamani, kupendwa ndiyo huku sasa.Nilienda kutafuta namba yako dogo, ujue tu ulivyonihangaisha.
watu tulitaka kufanya miamala ww ukachikichia😊
Akija tena huko pm kunywa Redd's dada za kutosha.nimemwambia alete mahari kwangu...hehehe..hapana maa...hatukuwa na maongz mabaya..si wajua vile venyr nakuelewa




lasivyo asije.Sasa kubushana na mwalimu JK ndo sio ubishi huo? Au kisa alikuwa baba wa Taifa?? Na ni obvious walikuwa wanabusha tu kama utamaduni wao ulivyo na sio upinzani wa kisomi. Waluguru wafupi wabishi sana. Yaani wao kila kiti lazma wapinge. Yaani mtu anataka kuwandoa wakoloni ili mbali huru bado pia mnambishia. Kwa kwa kwaaaaMtu kakurupuka kaleta uzi humu, japo ni wa muda kidogo, anaponda kabila hili adhimu kabisa hapa Tz, et ooh wabish, mara wafupi.
Unawajua kwanza waluguru kama hili ndo kabila pekee Tz lililotoa wagombea wawili wa vyama viwili tofauti wakashindana na Nyerere kugombea urais, kipindi wakoloni wanataka kutoa uhuru
Na inadaiwa hao waluguru wawili yaani Mtemvu na Kunambi walimchemsha saana mwalimu, alikuwa anakosa hadi usingizi akiwafikiria waluguru wale
Hadi ndo chanzo mwalimu kuwa mbunge morogoro ili kuwa-counter check wapinzani wake wale.
Kwa hyo dharau muache, waluguru kitambo waliamka, kipindi ambacho hata akina nshomile, bado wanatafta ma-phd,
Na mpaka leo waluguru wako vizur, hata ukiangalia kwenye kada ya mpira wa miguu, wao ndo kama kiwanda cha wachezaji nchini
#Hebu_acha_dharau_wewee
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂unaniletea kiu asbh asbh yote hii mdogo wangu..!yeah nitaanza fanya hvyo aisee..!
Duh!
😁😁😁😁
Nimeona raha, kama masikini kama mimi nisiye na mbele wala nyuma nikipotea nauliziwa hauni ni raha?Acha hizo, wewe umeona sawa eeh!