Huwajui waluguru ndio maana

Huwajui waluguru ndio maana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaniletea kiu asbh asbh yote hii mdogo wangu..!yeah nitaanza fanya hvyo aisee..!
Ndiyo Dada Fanya hivyo una baraka zangu zote[emoji13][emoji13]ila sasa usimwambie kama sina chura maana ataanza kukununulia virikuu sijui balimi sijui eagle[emoji133][emoji133]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wasukuma ndo buure kabisa, kwa u-trekta si wapingi, ila wakishavuna ndo utawajua kuwa ni mapimbi tu

Na baadhi ya mikoa madada poa washawashtukia, wanaenda kuweka kambi kwenye vijiji vyao kipndi cha mavuno

Ndo maana most of them, kazi kuubwa mafanikio nukta,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkonyo! Hawa ngosha kwa u-trekta hawajambo. Ila sasa kinachotokana na huo u-maksai wao hakionekani. Sijui shida iko wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waluguru ni Kati ya makabila dhaifu tz kimsingi mchaga na mpare hawaoani na waluguru wanawadharau sana

Waluguru ni dhaifu mpk hawapendani wao Kwa wao na wabunge wao wengi sio waluguru

Nyerere
Amir jamal
Shamim khan
Aziz abood

Dr mzeru alikaa kipindi kimoja baada ya kuuliza swali la kijinga bungeni eti kwanini viberiti havijai
Kusema uongo ni dhambi
mhe Amos Makala ni mlugulu na alikuwa mbunge wa Mvomero kwa walugulu wenzake.
Anyway Tz ni yetu sote.
 
Kusema uongo ni dhambi
mhe Amos Makala ni mlugulu na alikuwa mbunge wa Mvomero kwa walugulu wenzake.
Anyway Tz ni yetu sote.
amos makala sio mbunge wa Morogoro mjini ni mbunge wa mvomero turiani halafu pia sio mluguru ni mnyiramba yani wewe ndio hujui kabisaaaaaaa umeenda chaka
 
Back
Top Bottom