Huwajui waluguru ndio maana

Sasa kama hujaishi morogoro unatetea nini?
Sasa nakwambia tembelea mitaa ya mzinga, konga, kiloka hyo ni kwa nje ya mji. ..
Katikati ya mji tembelea mlapakolo, vibandani, Nunge, manzese, mjimpya na kichangani. ...
Zaidi ya hapo ukiendelea kuwatetea utakuwa unabisha kwasababu ubishi ni asili yako. ...

Vijana wa siku hizi bhana. Kitu unakiona unataka mpaka u Google
 
Bro kujua hoja yenye mantiki si mpaka huishi sehemu fulani. Yaani mimi nachoangalia hapa ni kukosekana kwa uthibitisho wenye ushawishi wa sisi kukubali hoja yako. Mimi ni mtembeaji, nimetembea maeneo mengi ya nchi ikiwemo na huko Morogoro. Uko Konga napajua mpaka mbele kule Tangeni, Mzumbe kipera n.k.

Nafikiri inawezekana nakukwaza naomba nifunge mjadala. Lakini kiukweli bado sijaona hoja hasa isiyo chembe ya makosa ya kimantiki ambayo hata mtu hasiyeishi Tanzania akisoma akakubaliana na ww kwa 100%. Asante na usiku mwema mkuu
 
Yaan kwa hapo itakuwa bora kabisa mjadala ufungwe
 
Usijaribu kuishi na hawa species.....hawa si species za binadamu hawa wakawaida...[emoji52][emoji52]

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Usijaribu kuishi na hawa species.....hawa si species za binadamu hawa wakawaida...[emoji52][emoji52]

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Acha zarauuu wewe kwani we kibila gani? pengine usikute wewe ni ushumire a.k.a mbwenga a.k.a Mupe Mupe Muruke
 
Acha zarauuu wewe kwani we kibila gani? pengine usikute wewe ni ushumire a.k.a mbwenga a.k.a Mupe Mupe Muruke
Endelea kubahatisha hivyohivyo

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Nlichokiona na nnachokiona waluguru wako wa aina mbili na wako tofauti sana sijajua ni kwanini. kuna wale wa njia ya matombo na wa njia ya mvomero, hizo sifa zote mlizotoa zinawahusu kwa 90% wale wa njia ya matombo kiukweli, na sijui ni kwa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila waluguru wabishi sana,kuongea sasa na uvivu wapenda kazi kidogo pesa nyingi.akishasema mwee!!! Ujue atalalia mashelisheli ya kuchemsha.Ila kwa kuvaa na ngoma nawapa 80% kwa hapo wapo vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waluguru ni Kati ya makabila dhaifu tz kimsingi mchaga na mpare hawaoani na waluguru wanawadharau sana

Waluguru ni dhaifu mpk hawapendani wao Kwa wao na wabunge wao wengi sio waluguru

Nyerere
Amir jamal
Shamim khan
Aziz abood

Dr mzeru alikaa kipindi kimoja baada ya kuuliza swali la kijinga bungeni eti kwanini viberiti havijai
 
Wachangiaji wengi walioponda Walugulu wana roho za husda"evil eyes"...huwezi sema kabila la mtu kama wewe huna matatizo,ni kabila gani hapa TZ wanaweza jinasibu kuwa 100% wako smart...kifupi nimezunguka hii Tz more than 90% ,kila kabila lina watu wema na wenye tabia za ajabu...kwa hiyo tuishi kwa kuheshimu watu wengine,kuponda kabila ambalo sio lako na kujiona kabila lako ni smart huo ni ugonjwa wa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wabunge wa Arusha mjini wote walikuwa waarusha?
Waarusha hawapendani au?
Na nani kakwambia morogoro mjini ni kwa waluguru peke yao?
Mimi kama mluguru niliyechanganyika na mmeru, najisikia vizuri kudharauliwa na mtu kama wewe.
Hujielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…