Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,552
- 62,996
Kama jehanamu na mbinguni papo; wanyama, ndege, wadudu wanaokufa/ kuchinjwa huwa wanaenda wapi?
Leteni majibu
Leteni majibu
Kuku unayemla anarudije mavumbini?Wanarudi mavumbini kama mwanadamu!
Hii mistari ya bible itakuponza humu dgo😹😹😹Wanarudi mavumbini kama mwanadamu!
Kuhusu hayo maeneo tumepigwa sanaKama jehanamu na mbinguni papo; wanyama, ndege, wadudu wanaokufa/ kuchinjwa huwa wanaenda wapi?
Leteni majibu
HahahaKuku unayemla anarudije mavumbini?
Dunia imejaa wasanii wengiKuhusu hayo maeneo tumepigwa sana
Mpeleke taratibu mtumishiKuku unayemla anarudije mavumbini?
Mtumishi anawaza namna ya kula sadaka za masikiniMpeleke taratibu mtumishi
Majaji tunaandika wapunguze speed🤣🤣Mpeleke taratibu mtumishi
Nilifanya utafiti wangu usio rasmi, wale vijana woote walikuwa mambululaz drasani ndio huwa Watumishi at the endMtumishi anawaza namna ya kula sadaka za masikini
Kwa hiyo wale Tunaokula hawarudi mvumbini wanatusiburi kwanza Sisi tulio wala?Wanyama wanarudi mavumbini, wale wanaochinjwa na kuliwa humrutubisha mwanadamu na huyo mwanadamu hurudi mavumbini
Na mavumbini ni ardhini, na hapo ndipo mwisho.Wanyama wanarudi mavumbini, wale wanaochinjwa na kuliwa humrutubisha mwanadamu na huyo mwanadamu hurudi mavumbini
Kwa hiyo mambo ya mbinguni sijui wapi, hayapo?Hapa duniani tunategemeana kwa namna moja au nyingi ...zingine ni story tu
kwanini mnahisi mmepigwa lakini bado mna imani na waliowaletea ?Kuhusu hayo maeneo tumepigwa sana
Kwa hiyo wanaojenga mahema na mabanda huko mtaani, darasani walikuwa ni mambululaz?Nilifanya utafiti wangu usio rasmi, wale vijana woote walikuwa mambululaz drasani ndio huwa Watumishi at the end