Huwa siwaelewi kabisa wazee wa michepuko

Wewe uliyeta hii mada ukikua umri wa kuitwa mzee ndio utajua utamu wa wasichana wadogo,mke wangu mtu mzima,halafu nichepuke kwa mtu mzima mwenzangu?,nyumbani nimekimbia nini na huku nje nafuata nini?,halafu aliyekuambia watoto wa nyumba ndogo hawasomeshwi ni nani?,wanapata huduma zote stahiki kama wa nyumbani,mimi babu yangu alikua na wake wanne,mimi nina mke mmoja na mchepuko mmoja,sijamfikia marehemu babu yangu,tuendelezeni jadi zetu tuache uzungu uzungu
mkuu hzi ni tamaa za kimwili tu ndugu, maana hata uchupuke vp unachokipata ni kile kile aseee
 
Hahahah... I never thought kila anaechepuka n muhun bt cyo wote coz i hav experienced that issue and i hv come to realiz its nt bad at all acha wachepuke tu afu nkwambie kitu ukiwa hujawai fanya unaona wenzio wana dhamb cku ukifanya unatuliaa tuli wala umsem mtu... Cyo mbaya kuchepuka na mtu ambae ana heahim familia yako na anajali future yako and cyo kila mtu anatakiwa aolewe wanaume hawatosh and mwngne ameolewa n mateso tu bora upate zako mbaba anakuhandle naanakushaur to be somebody... I rather date a married man than mkaka ambae anntumia for sex nikimwambia twende kwetu hatak nkimnyima mgegedo ugomv sasa vya nn kujipa karaha akat hata mia mbovu ukipata shda akusaidii..... Life is full of mysterious things! I just said ts nt me!
hv usikirie upande mmoja wa shilingi,
 
Siongezi neno.....

Wewe uliyeta hii mada ukikua umri wa kuitwa mzee ndio utajua utamu wa wasichana wadogo,mke wangu mtu mzima,halafu nichepuke kwa mtu mzima mwenzangu?,nyumbani nimekimbia nini na huku nje nafuata nini?,halafu aliyekuambia watoto wa nyumba ndogo hawasomeshwi ni nani?,wanapata huduma zote stahiki kama wa nyumbani,mimi babu yangu alikua na wake wanne,mimi nina mke mmoja na mchepuko mmoja,sijamfikia marehemu babu yangu,tuendelezeni jadi zetu tuache uzungu uzungu
 
hv usikirie upande mmoja wa shilingi,
Cyo upande mmoja wa shlng tena usiombe upate mchepuko msomi anaheshm familia yako au upate mwanaume anaejtambua cyo walev wa gongo ni wanaokunywa grants, robertson etc
Kwanza anaheshim his family and anakufundsha uishm pia so akiwa na bmkubwa wala upg cm au text bila 7bu..
And mambo ya familia yake hayakuhusu coz wew cyo altenatv n mpnz wake upo apo... And kingne wew cyo kipozeo chake kua kule kukigoma ndo aje kwako no... Sure hata kama mkewe hajui mnaeza date miaka ming bila usumbufu and hata mkewe akijua awez uliza coz mahitaj yake yote anatimiziwa cyo wale wanaopata mchepuko afu anatelekeza familia hao ndo mazuzu... Ila wale wanaopga 2 in 1 they are the best
 
Heshima zenu wakuu!!!

Jamani kama kuna watu ambao siwaelewi ni hawa wanaoendekeza michepuko.

Utakuta mwanaume ana ndoa halali lakini huwachukua binti aliyeko single na kumpangishia kisha kumhudumia. Mzee mtu mzima ana kabinti ka 20's amekapangishia na anakahudumia, mwishowe wanazaa mtoto, hapa utamkuta binti anajidanganya eti wazee hawawapi presha bila kujua kuwa kuna mke halali wa ndoa ambaye anapata presha huko alipo.

Jaribu pia kufikiria future ya huyo mtoto pia, atapataje elimu na huduma nyinginezo za kijamii? Watoto wanaishia kunyanyasika na kuishi maisha ya shida, jiulize utakuwa mchepuko hadi lini? wenzako wanafamilia wewe mchepuko, halafu huku wazee hawanipi presha kwa hiyo siwataki vijana. una tofauti gani na kahaba anayejiuza? Maana na wewe pia unajiuza.

Mwishowe unajikuta ndio single mother unalalamika umetelekezwa. Hautaweza kutambulishwa popote wala hakuna yeyote atakayetambua mahusiano hayo ya nyumba ndogo.

Wewe unayeendekeza kuchepuka labda nikwambie tu mtu mwenye malengo na mipangilio mizuri ya kimaisha haendekezi kuchepuka wala haendeshwi na tamaa za ngono, Tambua kuwa maisha ni zaidi ya ngono. Binti kama unajitambua, unajiheshimu na kujithamini hautayumbishwa na vitamaa vya mali wala kukubali kuwekwa kinyumba na kutumika kingono.

Wanaume wenzangu tupunguze kuendeshwa na tamaa za kimwili. Hautakaa utunukiwe cheti cha kufuzu katika ubingwa wa kuchepuka au ngono. Tufikirie maisha na zaidi kuwa na upendo na wake zetu na watoto zetu zaidi. Chukua muda kujenga upendo na ukaribu na familia kuliko kukimbilia kwa michepuko.

Ni hayo tu naomba kuwasilisha
Sijui una umri gani???. Kwa kifupi nyumba ndogo inatunza nyumba kubwa.
 
Cyo upande mmoja wa shlng tena usiombe upate mchepuko msomi anaheshm familia yako au upate mwanaume anaejtambua cyo walev wa gongo ni wanaokunywa grants, robertson etc
Kwanza anaheshim his family and anakufundsha uishm pia so akiwa na bmkubwa wala upg cm au text bila 7bu..
And mambo ya familia yake hayakuhusu coz wew cyo altenatv n mpnz wake upo apo... And kingne wew cyo kipozeo chake kua kule kukigoma ndo aje kwako no... Sure hata kama mkewe hajui mnaeza date miaka ming bila usumbufu and hata mkewe akijua awez uliza coz mahitaj yake yote anatimiziwa cyo wale wanaopata mchepuko afu anatelekeza familia hao ndo mazuzu... Ila wale wanaopga 2 in 1 they are the best
labda nikwambie wanawake wengi wasomi huwa hawajielewi kabisaa, wakiwa chuoni huendekeza umalaya tena sana na kuwadharau wale wanaosoma nao huwathamini wazee wenye pesa akija kushtuka mwaka wa tatu hana mtu wa kuelewaka akirudi mtaani ndio kapoteza ramani anaishia kuiba waume za watu..
Nikupe ushuhuda tu once tulivyokuwa chuo pale hostel kwenye block za wanawake zilikuwa zinapishana shangingi na magari mengine ya thamani kubwa, sisi wale mabinti walituona vikaragosi asee.
 
Kaka una hasira sana, lazima utakua umezidiwa maarifa na mwenye mchepuko.
Sina Hasira, Taifa letu ni maskini na changa bado, fedha kidogo tunayoipata tuwekeze katika miradi mbali mbali na sio kuwaendekeza michepuko, ili sisi kama nchi tupige hatua jamani
 
labda nikwambie wanawake wengi wasomi huwa hawajielewi kabisaa, wakiwa chuoni huendekeza umalaya tena sana na kuwadharau wale wanaosoma nao huwathamini wazee wenye pesa akija kushtuka mwaka wa tatu hana mtu wa kuelewaka akirudi mtaani ndio kapoteza ramani anaishia kuiba waume za watu..
Nikupe ushuhuda tu once tulivyokuwa chuo pale hostel kwenye block za wanawake zilikuwa zinapishana shangingi na magari mengine ya thamani kubwa, sisi wale mabinti walituona vikaragosi asee.
Unaposema wanawake wasomi its a general term sema hv baadh ya.... And mfano halali hata mm ninao my ccta alpofka 2nd year alkua na mpnz tulii bt alichopata ni kuvumilia mpnz anaewaza pombe and hana future yake na yupo 30 uo c uzuzu.... Bt imagine umekutana na mtu anaejitambua and amekua mkwel kwako tangu mnakutana kua he is married bt ndoa yake haitaathir mahusiano yake na wew... Anakushaur, anakuongoza abd anazuia Mahusiano mabovu na vijana ambao akija kwako ataanza na sex ...unafanyaje cha msingi n kua na furaha its nt abt being married its abt being happ and relaxed and pray to God and do whats right with life
 
Mkuu labda hujanielewa sijasema wanawake wasomi, nimesemea wanawake wengi wasomi, nikiwa na maana sio wote..
Hapo kwenye red sijaelewa ni Mungu yupi embu fafanua kidogo Mungu yupi huyo utakayemwomba?
 
Sina Hasira, Taifa letu ni maskini na changa bado, fedha kidogo tunayoipata tuwekeze katika miradi mbali mbali na sio kuwaendekeza michepuko, ili sisi kama nchi tupige hatua jamani
Kaka uwekezaji ni dhana pana sana, wapo wanaowekeza kwenye mambo ambayo wewe unahisi, kwa hali yako, yana maana sana, lakini wapo watu ambao, wamejitosheleza nikiwa na maana wamekwisha fanya uwekezaji huo unao utamani wewe. Hivyo basi, kwasasa wanawekeza kwenye mambo mengine kama vile kumpangia mwanamke nyumba ili kurahisisha upatikanaji wa raha.
 
Hahahaaaaaa na wewe unaweza kua muumini wa michepuko?
no mi sipo humo,, huwa naheshimu mahusiano ya wengine , kwa namna moja au nyingine wake zao hawaneni mema juu ya michepuko unaweza dhalilika soon or laiter...... jambo lingine ambalo huwa nawaza tu kwa sauti ananifanya mchepuko ananizalisha halafu baada ya kuzaa unakuwa na demand kama mke anakuona mzigo anatafuta mchepuko mwingine halooo hiyo cheni ndefu kinyaaaaa
 
Back
Top Bottom