Mweusi Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 333
- 322
Huo ni utoto, akikua ataacha!sasa ulitaka afulie chupi yake kwenye sufuria la kupikia au?
Swali zuri sanasasa ulitaka afulie chupi yake kwenye sufuria la kupikia au?
Hapa ikumbukwe kuwa kila kiumbe ana Tabia zake anazozipenda na kuzichukia.
Mie mwanamke mwenye tabia hii huwa tunaachana 10:00 asubuhi.
Tabia yenyewe ni hii ya mwanamke kufua chupi yake kwenye ndoo au kopo la kuogea, ama kwa hakika Nina uwezo Wa kuvumilia uchafu wowlte toka kwa mwanamke lakini sio uchafu huo.
Hahahah hivi haya majibu yanatokeaga wapi wazeesasa ulitaka afulie chupi yake kwenye sufuria la kupikia au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniuaaaaaaaasasa ulitaka afulie chupi yake kwenye sufuria la kupikia au?
Yaani wewe umenichekeshaa mno.sasa ulitaka afulie chupi yake kwenye sufuria la kupikia au?
Kuzama chumvini hamuoni uchafu ila hilo tu ndo uchafu lol
Wanaume ni ngumu sana kuwaelewa
invest what you are willing to lose