Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,735
Bikra zipo Mkuu. Yakuchonga inafahamika Mkuu.
Hivi chuo kuna bikra kweli??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bikra zipo Mkuu. Yakuchonga inafahamika Mkuu.
Hahahaa mkuu hela zitaisha halaf jamaa wanakimoa vumbi kidogo et elf5
tatizo lugha
Kugongewa mwanamke ni hulka ya mwanamke mwenyewe hakuna uhusiano wowote na kumjali. Wewe endelea na tabia(hulka) yako ndio maana unakutana na mnaofanana tabia....ukifanya research kidogo hata kwenye mitandao wanaolalamika kugongewa ni hao wanajifanya kuwajali wanawake...sisi kundi letu sijawahi kutana na kesi ya kugongewa -
Nb:..mwanaume ukijielewa mwanamke hawezi kukufanyia ujinga hata aweje...huwaga wanakuwaga na sample zao za kuziendesha
Sent using Jamii Forums mobile app
wife acha kujimwambafai ata mm mumeo huo ndo msimamo wanguUzuri huu ni msimamo wako peke yako, wanaume wetu nao wana misimamo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaonesha tu msisitizo.Kwa nini kila unapoongelea jinsi unavyomdharau na kumdhalilisha mwanamke unatumia Kiingereza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajimwambafai tu mbele za watu hapa wakati kuomba unyumba tu unamwaga hadi mchozi
We nitafute tuHahahahaha!
Hii naweka kuwachokoza watu wangu Humu. Ukiwemo nawe.
Ndukiiiii


Naunga mkono hoja yako 90℅
Ya kubembeleza ni pesa tu, ni ngumu kumridhisha mwanadamu. Wanaolalama kugongewa ni wale wanaojifanya kujali sana Ke huku return ikiwa ndogo.
Raha ya mahusiano mzani ubalance.