Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,735
Kutokumbembeleza mwanamke ni Kutokujiamini na kutokujielewa. Mwanaume anayejitambua anajua moja ya majukumu yake ni pamoja na kumbembeleza mwanamke.
Mwanamke anabembelezwa anadekezwa, anapetiwa petiwa kama mtoto.
Tabia hiyo uliyonayo wanayovijana wadogo ambao ndio wanabalehe. Au wenye matatizo ya akili.
Mwanaume ndio habembelezwi.
Hayo mengine sijui ya kukimbiwa na wanawake kisa huna pesa au kufilisika hayo ni matokeo ya kutojitambua kwa mwanaume.
Huna pesa unaishije?
Huna kazi ya kufanya?
Haya yote huna bado usibembeleze?
Watu wanapesa na wanabembeleza kwa vile wanajua wajibu wao kama wanaume wewe unakuja na hadithi za watoto wanaobalehe hapa.
Tafuta mwanamke anayekupenda tena akiwa bikra alafu kuwa mwanaume kikamilifu uone dunia ilivyo tamu
Kwasasa utapata bikra za kuchonga
Sent from my iPhone using JamiiForums

