Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,880
- 7,022
Bwege nazi... only to be used for pleasure...
Pathetic. Mama yako alitumika for pleasure ukazaliwa kwa bahati mbaya?
Mwingine tunda la pleasure wewe. In other words....
Namuonea huruma
Mchane humtaki ..unachomfanyia ni kumuumiza kihisia
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifanye kiburi tu, utachapiwa sana kwa taarifa yako. Be Gentleman ayseee hizo habari za kubembeleza bembeleza waaachie akina Ben Kinyaia na watu wa dizain hiyo.Kutokumbembeleza mwanamke ni Kutokujiamini na kutokujielewa. Mwanaume anayejitambua anajua moja ya majukumu yake ni pamoja na kumbembeleza mwanamke.
Mwanamke anabembelezwa anadekezwa, anapetiwa petiwa kama mtoto.
Tabia hiyo uliyonayo wanayovijana wadogo ambao ndio wanabalehe. Au wenye matatizo ya akili.
Mwanaume ndio habembelezwi.
Hayo mengine sijui ya kukimbiwa na wanawake kisa huna pesa au kufilisika hayo ni matokeo ya kutojitambua kwa mwanaume.
Huna pesa unaishije?
Huna kazi ya kufanya?
Haya yote huna bado usibembeleze?
Watu wanapesa na wanabembeleza kwa vile wanajua wajibu wao kama wanaume wewe unakuja na hadithi za watoto wanaobalehe hapa.
Tafuta mwanamke anayekupenda tena akiwa bikra alafu kuwa mwanaume kikamilifu uone dunia ilivyo tamu
Kutokumbembeleza mwanamke ni Kutokujiamini na kutokujielewa. Mwanaume anayejitambua anajua moja ya majukumu yake ni pamoja na kumbembeleza mwanamke.
Mwanamke anabembelezwa anadekezwa, anapetiwa petiwa kama mtoto.
Tabia hiyo uliyonayo wanayovijana wadogo ambao ndio wanabalehe. Au wenye matatizo ya akili.
Mwanaume ndio habembelezwi.
Hayo mengine sijui ya kukimbiwa na wanawake kisa huna pesa au kufilisika hayo ni matokeo ya kutojitambua kwa mwanaume.
Huna pesa unaishije?
Huna kazi ya kufanya?
Haya yote huna bado usibembeleze?
Watu wanapesa na wanabembeleza kwa vile wanajua wajibu wao kama wanaume wewe unakuja na hadithi za watoto wanaobalehe hapa.
Tafuta mwanamke anayekupenda tena akiwa bikra alafu kuwa mwanaume kikamilifu uone dunia ilivyo tamu
Jifanye kiburi tu, utachapiwa sana kwa taarifa yako. Be Gentleman ayseee hizo habari za kubembeleza bembeleza waaachie akina Ben Kinyaia na watu wa dizain hiyo.
Ukiendeleza ubishi ipo siku utaukumbuka huu ushauri.
Naona kama uko sahihi kwa upande flani, hakuna binadamu ambaye anastahili kuliwazwa kuliko mwingine, kila binadamu anastahili... Ukiona mwanamke hakuliwazi wewe jua kuna kwengine ambapo analiwaza. Mapenzi ni ya pande mbili. Akikutenda mtende kama huoni vile. Wote tubembelezane. Hakuna cha wanawake wako spesho kuliko wanaume, kwa lipi hasa. Jipende mwenyewe kwanza japo usiache kupenda wengine kwa kiasi chao sio mtu achukue upendo wako wote kisa mwanamke.Nimejichunguza tabia yangu.
Nimejiona kuwa huwa nina tabia sijui kama ni mbaya kwenu wenzangu, pamoja na umri wako huu, huwa sibembelezi mwanamke.
Naweza kumpenda mwanamke , nikamtongoza, lakini akinizingua huwa simshobokeihata kidogo, yaani hata nione demu mkali kinoma, akinizingua namuona hovyo tu.
Nawashangaaga sana wengine unakuta anamuhangaikia mwanamke kwa kumhonga pesa nyingi ili akubali, au mwanamke umemkosea kidogo unamuomba msamaha kama vile kitu cha ajabu.
Wanawake wote nawachukulia kama unstable creatures, they are trouble makers, they are only to be used for pleasure
Kuwa nao kwa tahadhari sana, kwa sababu most womens are there for material thing, uki lost tu ukawa lofa ndo utamjua mwanamke.
Ule msemo unaosema "when povert gets in through a door, love gets out through a window".
Mwanamke ndo anasababisha wanaume kufa haraka kwenye ndoa, huyu huyu mwanamke ndo husababisha maisha kuwa magumu, kwa vile unatafuta pesa kwa ugumu, mwanamke anazitumia kiulaini bila huruma, kisa ana mbunye.
Nimeandika uzi wa kama kuwaponda baadhi ya wanawake, kwa vile sometimes hawana shukrani, umemfanyia mengi mazuri lakini bado anakufanya Mtumwa wake, unamgonga unamkojolesha lakini siku nyingine umechoka, umemgonga umekojoa wewe, anaanza kukuona nguvu umeishiwa.
Nataka nijifunze kuwa huru, yaani nijipende mwenyewe kwanza badala ya kumpenda mwanamke, hata kama ni mke wangu akigongwa huko atajijua, nachojua mimi ni kupiga bao mimi, wewe kama hujakojoa utajijua mwenyewe.
Mimi mke wangu hata akiondoka huwa simpigii simu hadi apige mwenyewe, ndo nimeamua kuwa hivyo.
Ila nawaheshimu wanawake wanaoheshimu mwanaume, mi ndo niliyeanza kuumbwa mjue.
Povu ruksa kwenu wanawake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapoteza muda, ukiona unatumia nguvu nyingi sana kuwa naye jua unaibiwa bro. Mapenzi ni pande mbili. Hata madem player wapo. Hawana mapenzi wala huruma ni walaghai tu.ukikua utajua kwa nini wanzako huwa tunabembeleza
Kwanini tufafanulieNa huo ndio usela mavi kwa 100%
Kitendo cha kumtafuta na kumvulia nguo tayari unamwabudu kama huwapendi kweli ishi kiseja. Nakujishaua kote lakini mwanamke ana nguvu sana nakujidai makomandoo lakini mnawatafuta tu hahahahNaunga mkono hoja
Sitathubutu kumwabudu mwanamke
Evolution bado inatake place ukiwa binadamu kamili utajua thamani ya mwanamke something only animals ndio huwa wanafikiria kufanya acha binadamu wafanye yanayowapendezaNimejichunguza tabia yangu.
Nimejiona kuwa huwa nina tabia sijui kama ni mbaya kwenu wenzangu, pamoja na umri wako huu, huwa sibembelezi mwanamke.
Naweza kumpenda mwanamke , nikamtongoza, lakini akinizingua huwa simshobokeihata kidogo, yaani hata nione demu mkali kinoma, akinizingua namuona hovyo tu.
Nawashangaaga sana wengine unakuta anamuhangaikia mwanamke kwa kumhonga pesa nyingi ili akubali, au mwanamke umemkosea kidogo unamuomba msamaha kama vile kitu cha ajabu.
Wanawake wote nawachukulia kama unstable creatures, they are trouble makers, they are only to be used for pleasure
Kuwa nao kwa tahadhari sana, kwa sababu most womens are there for material thing, uki lost tu ukawa lofa ndo utamjua mwanamke.
Ule msemo unaosema "when povert gets in through a door, love gets out through a window".
Mwanamke ndo anasababisha wanaume kufa haraka kwenye ndoa, huyu huyu mwanamke ndo husababisha maisha kuwa magumu, kwa vile unatafuta pesa kwa ugumu, mwanamke anazitumia kiulaini bila huruma, kisa ana mbunye.
Nimeandika uzi wa kama kuwaponda baadhi ya wanawake, kwa vile sometimes hawana shukrani, umemfanyia mengi mazuri lakini bado anakufanya Mtumwa wake, unamgonga unamkojolesha lakini siku nyingine umechoka, umemgonga umekojoa wewe, anaanza kukuona nguvu umeishiwa.
Nataka nijifunze kuwa huru, yaani nijipende mwenyewe kwanza badala ya kumpenda mwanamke, hata kama ni mke wangu akigongwa huko atajijua, nachojua mimi ni kupiga bao mimi, wewe kama hujakojoa utajijua mwenyewe.
Mimi mke wangu hata akiondoka huwa simpigii simu hadi apige mwenyewe, ndo nimeamua kuwa hivyo.
Ila nawaheshimu wanawake wanaoheshimu mwanaume, mi ndo niliyeanza kuumbwa mjue.
Povu ruksa kwenu wanawake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufikiria tofauti na mwenzako haina maana unaukataa ukweli pengine unaujua ukweli au unautautafuta ukweli!