plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,395
- 1,439
Kwa mfano, unahitaji dhahabu. Utaigharamikia kwa gharama zote uipate. Ukiisha kuipata huna haja tena ya kuigharamikia.
Mwanamke anavutiwa na mwanaume ambaye hawezi kumpata, kama vile wanaume wanavyovutiwa na wanawake Classic ambao anajua hawezi kuwapata hata kama atawapata atatumia nguvu kubwa, hiyo ndiyo saikolojia ya mwanadamu upande wa mahusiano.
Mwanaume unamnyenyekea mwanamke kupita kiasi, ameshakupata huna tena mvuto kwake. Hivi mwanaume unapiga magoti kumvalisha mwanamke pete, umeshajiweka chini yake unatarajia atakuheshimu. Wakati maandiko yanaonyesha baada ya Adamu na Hawa kuasi sisi wanaume ndiyo tuliambiwa tutamtawala mwanamke.
Mwanaume mpende mwanamke, mwanamke mheshimu mwanaume. Mwanaume kuwa na misimamo yako kama mwanaume, usitetereshwe, hata mwanamke uliye naye atajua nipo na mwanaume wa aina gani, hatakuletea ujinga na hautakufa kwa presha.
Sent using Jamii Forums mobile app