Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,379
Wakuu hii tabia imekaaje?
Sometimes huwa nawaza labda wadau wananichukuliaje maana kwangu hii ni tabia sugu.
Sijawahi kuweka status whatsapp na huwa sifungui kabisa status za watu japo huwa naona kabisa list ya majina ya watu waliopost status zao.
Je hii ni dalili ya ubinafsi au ni kawaida tu?
Sidhani mkuu maana kwa bando siko mbaya kivile, nasikilza redio online karbia 6hours daily, nacheki tutorials na interviews za watu mbalimbali youtube karbia kila siku, hiyo ya kupuuza whatsapp ni katabia fulani sikaelewi.Bando lako la mawazo mkuu,
Kwani ili uwe uzi unatakiwa uwe wa material gani?Yaani huu nao ni uzi!!!?
It's not a place for everything fellaKwani ili uwe uzi unatakiwa uwe wa material gani?
Learn to appreciate others, it will cost you nothing.
Did you involved in creating this forum or ur just a cheap person like me whose thread is not suitable to be here?It's not a place for everything fella