First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
- Thread starter
-
- #101
Atuulize sisi tunaoufahamu ubichi wako..
U mdada mbichi kweli!! 😱 don't tell my wife...
shansarie haya maneno kayatamka kiwatengu, kamwambia mamaafacebook... hatari sana, angalia asije kujifanya mteja.. abiria chunga mzigo wako.
Aahhhha kijana tutakuteka wewe acha umbea
sina wasiwasi na mume wangu kabisa asante kwa taarifashansarie haya maneno kayatamka kiwatengu, kamwambia mamaafacebook... hatari sana, angalia asije kujifanya mteja.. abiria chunga mzigo wako.
sina wasiwasi na mume wangu kabisa asante kwa taarifa
Me kondakta... natoa tu angalizo kwa abiria..
sina wasiwasi na mume wangu kabisa asante kwa taarifa
We haya tu
Asavali ila wengi walijiamini mwisho wa siku wakabaki mikono ya kichwa
Asavali ila wengi walijiamini mwisho wa siku wakabaki mikono ya kichwa
nampa uaminifu wote ila ikifikia hapo kuweka mikono kichwani, that will be over hata uje ukoo sirudi nyuma ila namini haitatokea
hahahaaa.... acha fujo.
sina wasiwasi na mume wangu kabisa asante kwa taarifa
nakupenda mke wangu..
rudia kusoma tena....
Si umsomee vizuri mkweo Shem....
Thats good unatakiwa utengeneze trust wewe kwanza hongera
asanteeee sana
Naona umewaza kwa sauti
Sauti kubwa kwa kweli
siku nakuja kumjua Madame B nakuta ni mama wa watu mwenye heshima zake... tena mama mchungaji labda...
Khantwe na kumwita kote mama mkwe kumbe ni katoto ka shule ya sekondari au ndo kanaanza chuo
kiwatengu ni kachali tu kanafanya biashara ya kuuza CD na kuingiza nyimbo kwenye memory card na ka laptop yake...
janeth1 na kumwita kote mke wangu romantic eyes mdogo wake kumbe kenyewe ni kadogo hakuna mfano...
shansarie nakuja kumkuta anauza mgahawa maeneo ya machame..
miss chagga nakuja kumfuma live kwenye kibanda cha airtel money huku anachat jf wakt wateja wamepungua...
Mr Rocky nakuja kuonyeshwa bar za mtaani anakung'uta banana kule moshono maeneo ya masai camp..
Ntunzu kumbe nae ni fundi viatu...
Dena Amsi ni mbunge wa vitu maalum kutoka babati... afu ndo anaitwa mchepuko na mnywa banana....
Evelyn Salt unakuja kumfahamu ni bonge la braza....
a.rahabu ni house girl wa mwalimu kabanga....
Asprini ni kijana mdogo tu mwenye miaka 17 afu mamafacebook ni mbibi mwenye umri wa miaka 80>......
Mtoto halali na hela ni mlinzi...
Elli79 ni dereva bodaboda...
haya ni mawazo yangu tu.... huwa nawaza sana kuhusu hizi keyboard zetu... asilimia kubwa hatufahamiani jamani....
hujambo shem....