Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,720
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣hujaeleza ni nini kinauma na kinaumana vipi na kwanini? Hebu toa madini ufafanue.Tayari kimeumana
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hakika kimeumanaNarudia tena kimeumana
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 japo sijawahi ila nakuelewa mwananguUlishawahi kuona mbwa wamenasiana..? Basi huko ndo kimeumana!.
shoo shoo ni mnyama gani?Maana yake ni shoo shoo!!
Siku utaelewa ukipoteza nauli halafu usiku na umbali ni mrefu! Au unasimu ya mchina inayojitype.. siku itamuandikia baba mwenye nyumba "njoo uchukue hela ya Kodi halafu kumbe we hauna hapo ndo kimeumana..🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 japo sijawahi ila nakuelewa mwanangu
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Siku utaelewa ukipoteza nauli halafu usiku na umbali ni mrefu! Au unasimu ya mchina inayojitype.. siku itamuandikia baba mwenye nyumba "njoo uchukue hela ya Kodi halafu kumbe we hauna hapo ndo kimeumana..🤣