Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,470
- 106,247
Unaposema CHADEMA unamaanisha nini?Mkuu CHADEMA kwenye siasa za kimataifa wengi ni watupu sana na wenye contradictions nyingi.
Kuna wanachedema wengi wanawahusudu Kiduku wa Korea Kaskazini, Kagame, Putin, Gaddafi n.k
Unamaanisha msimamo wa chama au watu tu?
Kama ni chama, msimamo huo uko wapi?
Kama ni watu tu, unajuaje hawa ni CHADEMA kweli?