Huwa inakuwaje?

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,397
1,011
Hivi inakuwaje umegombana na mkeo very strongly halafu umatoka kwenda kutumia sehemu unakutana na demu mkali ZAIDI ya mkeo na anakunyenyekea balsa huwa inakuwaje au unaweza chilukua uamuzi gani
 
Mmh em andika kwanza vizuri maana umekosea kosea utafikir.........
 
Tamaa tu hizo wakati unaoa hukujua kuna mademu wakali. Huenda ikawa huyo anayekunyenyekea ameshajua unastress ndio mana anacheza na akili yako.
 
Muda huo kichwa cha chini ndo kina maamuzi hata akipita mbuzi mbele yako utaona ana shape flani matata....
 
Nitaona ananiletea shobo tu mimi stimu zangu zitakuwa mbali
 
Back
Top Bottom