donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Professor umezama???Nimezama kwenye page yake nilicho gundua huyo binti ni mpigaji tu kaokota vipicha vya kuzuzua watu.
Sio chumviniNimezama kwenye page yake nilicho gundua huyo binti ni mpigaji tu kaokota vipicha vya kuzuzua watu.
Lakini hela ya kua na smart phone anayo sioAcha ubahili mzee tuma hata ten huwez jua binti wawatu anashida ya pedi siunaona bei iliokuomba
2.5 K (njaa kali)
HahahaAcha ubahili mzee tuma hata ten huwez jua binti wawatu anashida ya pedi siunaona bei iliokuomba
Umeona mkuu?Nimezama kwenye page yake nilicho gundua huyo binti ni mpigaji tu kaokota vipicha vya kuzuzua watu.
Kabisa, nimemvungia mkuuMpotezee
Tena sio dogoNi balaa hii,..