Wivu siyo mapenzi.Asprini na skay eclat msinifanye nicheke mpaka niji.....e nyie we haya. Najua skay ni mdogo kwangu ila Aspirin sijui. By the way wivu ni dalili nzuri ya kupendwa. Usipoonewa wivu ujue wewe ni kiti cha pembeni.
Napinga hoja. Bila wivu hupendi babu na bibie???? Kuaminiana sawa lakini kachumvi ka wivu kakikosekana ujue mhu we basi tena. Lazima umjuze lahaziz wako unakoelekea na sehemu gani. Akupeleke, akushushe ule raha zako na shoga/rafiki yako na baadaye anaweza kuja kukufuata.Wivu siyo mapenzi.
Watengeneza soda wangeweza kujaza chupa mpaka juu, ila space matters.
Tupeane space kwenye mapenzi ili kila mmoja aenjoy.
Nilitaka kumuuliza ni asprin au?Umeamua kunidhalilisha? Mi nilijua tushayamaliza. Dah!
HahahaMumeo atakua mzungu maana hawa wa kiswahili lazima wajue shosti ni nn
Shemeji yako anatoa siri za chumbaniNilitaka kumuuliza ni asprin au?
Mapenzi tunaweza kuyaonyesha bila kumbana na kumkosesha pumzi mwenza.Napinga hoja. Bila wivu hupendi babu na bibie???? Kuaminiana sawa lakini kachumvi ka wivu kakikosekana ujue mhu we basi tena. Lazima umjuze lahaziz wako unakoelekea na sehemu gani. Akupeleke, akushushe ule raha zako na shoga/rafiki yako na baadaye anaweza kuja kukufuata.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.Kuna dada tulielewana sana tukiwa chuo, alikuwa yule wa kazi na bata pamoja. Baada ya shule tuliendelea kuwasiliana. Kubadilisha na picha za matukio nk.
Juzi amekuja mjini hapa kwa shughuli za familia. Tulipanga lazima tuonane. Baada ya kazi nilimtext hubby kwanza nikamueleza kuwa shost yuko mjini na tuta chill kidogo kabla kurudi nyumbani. Alisema poa.
Tulikutana na shost, nyama na drinks tuliagana. Nimerudi home hubby anauliza shost wa kike au wa kiume? Khaa nilianza kumfahamisha, hapo hawajainana lakini wanajuana.
Nilimuomba huruma, kumbe muda wote alikuwa anaumia!