Hta mi cuelew huu wimbo ingawa unavutia kuuckiliza mkuu!
Huu wimbo kwanza mie binafsi huwa siupendi hata kwa kuuwaza tu.
Pili huu wimbo hauna maadili yeyote sema kea vile hii nchi mamlaka zote husika zipo likizo isokuwa na mwisho basi ndio maana hadi sasa bado unapata air time. Yaani kana hakuna wizara na idara zinazojihusisha na hayo mambo na kuyapangilia!
Huu wimbo upigwe ban tu na wenyewe.
Ila badala yake wanakazania magazeti yanayowafumbua watu macho.
Nasema hivi: huu wimbo upigwe ban:thumbdown:
Duuh,mbona unashangaza ndugu? Eti wimbo hauelewi ila unavutia kusikiliza. Utavutiwa vipi wakati huelewi chochote?

KABLA HUJAANZA KUPOST NA KUPONDA EBU SOMA BETI ZOTE KWA MAKINI, NASIO UNAKURUPUKA ET MAMLAKA ZIKO WAPI, INA MAANA WEWE HUTAKI WASANII WATOKE KIMAISHA,
HUU HAPA WIMBO SOMA WOTE NDO ULETE KERO YAKO, SHAME ON YOU
Introduction)
Ayaya ayaya……………..
Mmh……
(Verse One)
Nimekuwa kama Samaki kutamani nisivyoviweza
Kama ni Tanga niliapa nioe Muheza
Na kama kama Bahati mwenzenu nilishapoteza
Siku hizi ujanja ni kunywa mchuzi wa Pweza
Ai haya maneno walinena wazee wa zamani ii…..
Ukiwa Mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
Haya maneno walinena wazee wa zamani ii…..
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
(Chorus)
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako

(Verse Two)
Mmh muji musingi Kiuno ukishatendwa ndio byebye
Yamsondo mumpe Ngurumo hayo mengine hayafai
Mbona penzi limechacha nae
Wacha niguse niachane nae
Hasinigande nigombane nae
Hakuna mapenzi husibishane nae

(Bridge)
Mmh Aah
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu mama ah
Chaki chakichaki nampi nai Chaki chakichaki ficha nai
Ai ai ai ai ai ai ai ……
Chaki chakichaki nampi nai Chaki chakichaki ficha nai
Alichaaah (aah)
MAVOKO
KABLA HUJAANZA KUPOST NA KUPONDA EBU SOMA BETI ZOTE KWA MAKINI, NASIO UNAKURUPUKA ET MAMLAKA ZIKO WAPI, INA MAANA WEWE HUTAKI WASANII WATOKE KIMAISHA,
HUU HAPA WIMBO SOMA WOTE NDO ULETE KERO YAKO, SHAME ON YOU
Introduction)
Ayaya ayaya ..
Mmh
(Verse One)
Nimekuwa kama Samaki kutamani nisivyoviweza
Kama ni Tanga niliapa nioe Muheza
Na kama kama Bahati mwenzenu nilishapoteza
Siku hizi ujanja ni kunywa mchuzi wa Pweza
Ai haya maneno walinena wazee wa zamani ii ..
Ukiwa Mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
Haya maneno walinena wazee wa zamani ii ..
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
(Chorus)
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
(Verse Two)
Mmh muji musingi Kiuno ukishatendwa ndio byebye
Yamsondo mumpe Ngurumo hayo mengine hayafai
Mbona penzi limechacha nae
Wacha niguse niachane nae
Hasinigande nigombane nae
Hakuna mapenzi husibishane nae
Ai haya maneno walinena wazee wa zamani ii ..
Ukiwa Mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
Haya maneno walinena wazee wa zamani ii ..
Ukiwa Mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
(Chorus)
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
(Bridge)
Mmh Aah
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu mama ah
Chaki chakichaki nampi nai Chaki chakichaki ficha nai
Ai ai ai ai ai ai ai
Chaki chakichaki nampi nai Chaki chakichaki ficha nai
Alichaaah (aah)
MAVOKO
Hapa natumia simu so inakuwa ni ngumu sana kwangu kukupa detailed literary analysis ya huu wimbo ambao hauzi sema kuwa ipo ki-literary ila upo so literal (bears mostly surface meaning as opposed to deep meaning).
Hatukatai swala la wasanii kutoka ila je sasa wanatoka at the expense of destroying norms? Hebu rejelea ule wimbo wa wana njenje kama sikosei anaposema " fimbo spesheli, kijaruba cha babu" pamoja na symbolisms ambazo zimefanya kazi kama tafsida na vitu kama hivyo.
Maneno aliotumia yapo so shallow in meaning as opposed to just the example given.
Angalia the young up coming generation ina-gain nini out of this.
Usipende kutetea upande mmoja tu mkuu.