Kama ni mpenzi kama mimi wa ramadeeofficial twitter....enjoy good music... "Unione" ramadee/jidejaydee.... Brand new!Huu wimbo nitausikiliza muda si mrefu
Hamjambo humu ndani😉nimewamiss haki tena.
Bhana sijui ndio nataman kuwa kwenye mapenzi ama laa🫣🫣maana huu wimbo tangu saa sita mchana mpka sasa ninaupiga na sijafikiria kuuchoka.
Huu wimbo Unanifanya mpkaa nitamani kuingia mapenzini hakyanani tena❤️🔥
Ninampango wa kuupiga huu wimbo usiku mzima wa leo.
View attachment 2583662
Drop ngoma yako ulisiyoichoka kuisikiliza na utuambie ni kwa nini unaipenda🤸♀️🤸♀️
Ila Rama Dee anasauti ya mahaba aisee🥰🥰kama ana mafua hivi 😁kama hataki kuimba,basi tu ili mradi alete usumbufu tu🫣🫣
Hili swali hata mimi ninajiuliza.kama hawana mahusiano basi wafanye namna wawe na mahusiano kwakweliHivi hawa watu wa2 watakuwa na mahusiano Jay dee na rama dee? Maana wana nyimbo zao kali sana aisee na wanaonekana wapo washkaji sana.....!!!!
Ni wimboNi wimbo au unauliza?
Pia RAMA DEE_KIPENDA ROHOKama ni mpenzi kama mimi wa ramadeeofficial twitter....enjoy good music... "Unione" ramadee/jidejaydee.... Brand new!
Aposto vip jambo limeendelea? Sijapita huko tangu juzUsijaribu. Kama una amani, tulia tu huko huko 😅
They're madly in love! Since collaboration yao ya 1 iliyofanya bondAise basi yuko vizuri
Naomba niulize hivi wanamahusiano na Jd?au ni nyimbo tu..
Hapa pia ongeza BECKA TITLE_UMAARUFU
Dee familyKama wako humu wafanye namna kwakweli❤️🔥
Shalom baba
Aaah aaah aisee! Halafu mwanamke akiwa hivo ukimgusa tu amerusha maji chaaaaaaaaaaaa!Yani najihisi makopa kopa.ninajihisi kama niko inlove tayari[emoji175][emoji175][emoji175]
Hiyo kuwa na subira ni ❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Kama kawa, zege hailali mkuu 😅😅Aposto vip jambo limeendelea? Sijapita huko tangu juz
Nakushauri uendelee kuwa na amani. Neda sehem ambayo utaipata amani yako 😍😍Kwahiyo unanishauri niendelee kuwa single si ndio😌😌
Shukran sn sister[emoji4][emoji1431]Nimefurahi kukuona kwenye uzi wangu[emoji7][emoji7]