Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
- Thread starter
- #41
Weee…😀Mez B ft temba-nmekubaliView attachment 2583936
Weee…😀Mez B ft temba-nmekubaliView attachment 2583936
Ninausikiliza muda huu,huu wimbo🥰View attachment 2583938
Save your advice coz I won’t hear, you might be right but I don’t care
There’s is millions reasons why i should give you up
But the heart wants what it wants
Hamjambo humu ndani[emoji6]nimewamiss haki tena.
Bhana sijui ndio nataman kuwa kwenye mapenzi ama laa🫣🫣maana huu wimbo tangu saa sita mchana mpka sasa ninaupiga na sijafikiria kuuchoka.
Huu wimbo Unanifanya mpkaa nitamani kuingia mapenzini hakyanani tena[emoji3590][emoji91]
Ninampango wa kuupiga huu wimbo usiku mzima wa leo.
View attachment 2583662
Drop ngoma yako ulisiyoichoka kuisikiliza na utuambie ni kwa nini unaipenda[emoji2222][emoji2222]
Ila Rama Dee anasauti ya mahaba aisee[emoji3059][emoji3059]kama ana mafua hivi [emoji16]kama hataki kuimba,basi tu ili mradi alete usumbufu tu🫣🫣
🥰 mzima? pasaka imeendaje? ukala mwenyeweUmemisika pia 😍
Aise basi yuko vizuriHii ngoma kumbe nnayo muda tu kwenye 4ne yangu sema ni muda sana Nilikuwa sijaisikiliza.....
wimbo wowote wa rama dee unaanzaje kwanza kunipita!...
Dah jamaa alishaamua kujichimbia zake australia zaidi ya miaka karibu 20 sasa...
Bongo aliona miyeyusho...huwa anakuja na kusepa...ila twitter huwa yuko live muda mwingi
Kuna ile nyimbo yao ya mda kidogo inaitwa sijui kama huwezi ni nzuri piaAise basi yuko vizuri
Naomba niulize hivi wanamahusiano na Jd?au ni nyimbo tu..
Kikubwa imepita salama tumshukuru aliewezesha hilo🙏Niko salama sana ninamshukuru Mungu ni mwingi wa Rehema.
Bhana bhana mambo yalikuwa mengi😀😀
.......ntakuja inbox hapa naona umenilia tinted so inabidi niwe mpole kidogo......Bado ninasubiria mdokezo mkuu.au wimbo bado haujaisha?😎
Hamjambo humu ndani😉nimewamiss haki tena.
Bhana sijui ndio nataman kuwa kwenye mapenzi ama laa🫣🫣maana huu wimbo tangu saa sita mchana mpka sasa ninaupiga na sijafikiria kuuchoka.
Huu wimbo Unanifanya mpkaa nitamani kuingia mapenzini hakyanani tena❤️🔥
Ninampango wa kuupiga huu wimbo usiku mzima wa leo.
View attachment 2583662
Drop ngoma yako ulisiyoichoka kuisikiliza na utuambie ni kwa nini unaipenda🤸♀️🤸♀️
Ila Rama Dee anasauti ya mahaba aisee🥰🥰kama ana mafua hivi 😁kama hataki kuimba,basi tu ili mradi alete usumbufu tu🫣🫣
Hakika kama wapo humu wasipuuzie hiliHawa watu wawenamahusiano tu wanapendeza💞💞💞
Shalom shalom mamaKabisa…Imepita salama Mungu ni mwema tumshukuru