Huu wimbo unanifanya mpaka nitamani kuingia mapenzini

Huu wimbo unanifanya mpaka nitamani kuingia mapenzini

hakika mm nakufaa
AB2992EB-AC94-49CF-9212-7E9C98BD0D45.jpeg
 
Dah! Siipatii picha hiyo ngoma itakua tamu kiasi Gani....jina la wimbo tuu....na mwamba aliepewa collabo! ...mnyaamaa wa hayo mangoma ya mapenziii....mwenye sauti ya kipekee Rama Deee....

Hii ni kama ngoma yao ya 3 pamoja ya mapenzi kama sikosei hivi...

Nahisi kuna kitu kinaendelea baina yao!...
Aise mwamba ana sauti nzuri kinyama…haichoshi🥰sasa hapo ni kuimba😁sijui wakati anabembeleza inakuwaje😋😋
 
....

........naendelea kuusikiliza kwa makini then ntakuja kukudokeza jambo......ila nafikiri kuna namna wimbo huu umemaanisha jambo fulani kwako, maana si kwa furaha hiyo uliyonayo.......
.........nb rama Dee na dogo Dito ni wasanii bora WA RnB ambao wako underrated sana.......
Bado ninasubiria mdokezo mkuu.au wimbo bado haujaisha?😎
 
Aise mwamba ana sauti nzuri kinyama…haichoshi🥰sasa hapo ni kuimba😁sijui wakati anabembeleza inakuwaje😋😋
Hii ngoma kumbe nnayo muda tu kwenye 4ne yangu sema ni muda sana Nilikuwa sijaisikiliza.....

wimbo wowote wa rama dee unaanzaje kwanza kunipita!...
Dah jamaa alishaamua kujichimbia zake australia zaidi ya miaka karibu 20 sasa...

Bongo aliona miyeyusho...huwa anakuja na kusepa...ila twitter huwa yuko live muda mwingi
 
Single Again By Harmonize [emoji16][emoji16]

Mmmm
Maybe this love not for me
Uuuu
Ooh yes i'm single
Kwahiyo unataka kuwa single pro max kama mimi sio?au wewe ni singo again kwa mida mfupi tu😀
 
Back
Top Bottom