Huu wimbo unanifanya mpaka nitamani kuingia mapenzini

Huu wimbo unanifanya mpaka nitamani kuingia mapenzini

Devil on my shoulder, the lord as my witness
So on my Libra scale, I'm weighing sins and forgiveness
What goes around, comes around like a hula hoop
Karma is a bitch, well just make sure that bitch is beautiful
 

Attachments

  • Screenshot_20230411-123834.png
    Screenshot_20230411-123834.png
    68.8 KB · Views: 12
Kula chuma icho
Rama dee-sio waoaji
 
Hapa nasikiliza zangu nyimbo inaitwa “Yesu Nitie Nguvu” maana mambo hayaeleweki haya
 
Hivi hawa watu wa2 watakuwa na mahusiano Jay dee na rama dee? Maana wana nyimbo zao kali sana aisee na wanaonekana wapo washkaji sana.....!!!!

Hahahah jina la ID yako[emoji28]
Imenikumbisha movie ya Kings of Jo’burg

Mogomotsi Masire was my favorite
 
Back
Top Bottom