makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,371
- 3,670
tuwekee basi nasi tuupakueNashukuru sana wakuu nimeupata wenyewe unaitwa Africa A Africa E umeimbwa na SALIF KEITA
tuwekee basi nasi tuupakueNashukuru sana wakuu nimeupata wenyewe unaitwa Africa A Africa E umeimbwa na SALIF KEITA
tuwekee basi nasi tuupakue
Samba Mapangala (Dunia Tunapita).huu wimbo kaimba nani na unaitwaje?
Dunia inapitaaa eeeehh..
kilaa.kitu kitapitaaa eeeh
itabakii milimaaa.....
msaada please!!!
Samba Mapangala & Orchestra Virunga(Vunja Mifupa Kama Bado Meno Iko).piaaa kuna huuu
mpeleke mtoto shule
apate elimu ...itamsaidiaaaa
msaaada wakuu
mkuuu thanks a lot.Samba Mapangala & Orchestra Virunga(Vunja Mifupa Kama Bado Meno Iko).
Uweke huo unaodhani ni wenyewe.nilivyo muelewa anaulizia wimbo wa SELIF KEITA......naona hapa umewekwa wa MANU DIBANGO....
Manu Dibango kaimba kama kalewa Franklin ndio kaimba vizuri...Franklin Boukaka na Manu Dibango sijui nani ndo mtunzi ila Manu Dibango ameuimba vizuri na ndo huo nimeweka video yake.
Mkuu...nakuona unatiririka tu,,Afrika eehee!, Africa mwana marumbo ,
Afrika ,afrika ,
Afrika ,Afrika enheee