Huu wimbo nimetoa mchozi kiume, daaah!

Huu wimbo nimetoa mchozi kiume, daaah!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,749
Reaction score
7,856
Huu wimbo ulinitoa machozi, jina limenitoka. Umeimbwa na marehemu God Zilla, Fid q na mwingine nimemsahau, nisaidieni unaitwaje? Biti lake linahuzunisha sana. Please nisaidieni.

Nakiri sijui na nipo tayari kujulishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom