Huu ****** wa Masoud Kipanya Leo Nimeukubali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ****** wa Masoud Kipanya Leo Nimeukubali

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndallo, Feb 21, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,912
  Likes Received: 695
  Trophy Points: 280
  Kweli ya leo Masoud huu ****** wako kaka nimeukubali! Kaza buti baba mwendo mdundo!
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 18,612
  Likes Received: 8,281
  Trophy Points: 280
  Kazi kwelikweli
   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  huu ni ukweli mtupu kwa mzazi mwenye akili hata mimi najali zaidi future ya watoto kuliko maisha yangu ya sasa
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ni Ujumbe mzito kwa Watanzania tunaoibiwa Rasilimali na Mafisadi wa CCM
   
 5. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sasa hata kama ni future hilo tumbo tu ni future tosha! Ulafi tu!
   
 6. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,097
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Lakini si wa kufisadi mali ya UMMA!!
   
 7. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  halafu hizo nyota zinatokeaje?
   
 8. RR

  RR JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,675
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sijui kwa nini neno U-p-u-u-z-i limekua censored
   
 9. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  safi sana , huyo kavaa shati la kijani
   
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  JF raha tupu..
   
 11. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  you have missed the point GREAT THINKER!!!!!
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,978
  Likes Received: 6,524
  Trophy Points: 280
  Fyucha hadi utuibie? au fycha inapatikana kwa kuiba tu? Elimu na NENO la MUNGU ndio future ya kuwapa watoto
   
 13. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sasa huyo Nape au Mkama?Lakini unyowaji wa nywele kama hizo ni wa NAPE na kuvaa Miwani..tetetetetetete
   
 14. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,441
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwa hili tuanstahili kuitwa " kaza roho country"
   
 15. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  it doesn't show/written anywhere that man was stealing money!. i know your judgement was based on green shirt with yellow stripes. Halafu hata sentensi yangu pia ni debetable kama alivyo Narubongo
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  acha tu jombaa ni balaaa hili nchi..
   
 17. Mr. Miela

  Mr. Miela JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kuna tofauti ya watoto na wajukuu! hapo ndo ulipoingilia chaka na wala sio huo uyanga ulioungangania
   
 18. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,837
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  Watamnywesha sumu huyu panya afe nyie subirini
   
 19. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,145
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Bora wewe unayejali future ya watoto, sasa mwenzako huyo mwenye shati la kijani anajali future ya wajukuu kabisa, ina maana watoto keshamalizana nao akaanza wajukuu. Kwa vyovyote vile katuni inawasilisha wazo la ku-mis use resources, manake hata huzihitaji still you steal them!
   
 20. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mwanaume huwa hazeeki mfumo wa uzazi, mzee wa miaka 80+ anaoa mtoto wa miaka 18 na anamzalisha. kwahiyo swala la mtoto - mjukuu kwa mwanaume ni pana sana na njia pekee ya kuondoa utata ni kutumia neno watoto maana wanao wanaweza kufunga uzazi lkn wewe bado unaendelea unazalisha (plan zangu hizi). Hii ni tofauti na mwanamke ambaye ana limit ya kuzaa btn 35-40's. Ni vizuri zaidi kutumia concept yako kwa mwanamke.

  halafu kwa kabila letu sisi huwa hatuna neno wajukuu
   
Loading...