Leseni zote za Class A zinatoka online na Class B kwa wilaya ya ILALA nazo zinatoka online unaenda kwenye website Home - TNBP unajisajili unapata username na hiyo password ambayoo email uliyoiweka ndio inakuwa username.
Click kwenye tab ya service then Business license. Baada ya hapo kuna mambo ya kujibu na kuload vitu muhimu kama ni mpya Mkataba wa Pango, Kitambulisho , kwa Kampuni memarts na hiyo tax clearance.
Unajibiwa haraka na baada ya siku moja au mbili unaletewa control number ukilipa baada ya dakika 15 mpaka nusu saa leseni inakuwa tayari unaprint unaweka kwenye biashara yako. Unachangamoto yoyote kwenye hili leta issue tusaidiane.
heeee hilo nalo hadi lakuitiana pm?!!!!!!!!daaaaa kazi kweli kweliivery simple bro njoo DM nikupe ushuhuda
very simple bro njoo DM nikupe ushuhuda
Embu nisaidie pale kwa website ukisha log in, unaenda wapi ili kuijua kwamba tayari kwa malipo!?
Tafadhali usiwe muongo, hilo jambo halipo, leseni haipatikani online, lazima uende ukasujudu kwa maofisa biashara katika halmashauri husika
Tafadhali usiwe muongo, hilo jambo halipo, leseni haipatikani online, lazima uende ukasujudu kwa maofisa biashara katika halmashauri husika
Leseni zote za Class A zinatoka online na Class B kwa wilaya ya ILALA nazo zinatoka online unaenda kwenye website Home - TNBP unajisajili unapata username na hiyo password ambayoo email uliyoiweka ndio inakuwa username.
Click kwenye tab ya service then Business license. Baada ya hapo kuna mambo ya kujibu na kuload vitu muhimu kama ni mpya Mkataba wa Pango, Kitambulisho , kwa Kampuni memarts na hiyo tax clearance.
Unajibiwa haraka na baada ya siku moja au mbili unaletewa control number ukilipa baada ya dakika 15 mpaka nusu saa leseni inakuwa tayari unaprint unaweka kwenye biashara yako. Unachangamoto yoyote kwenye hili leta issue tusaidiane.
Mkuu mie kila nikiapload documents zinagoma. Yaani zinakubali mbili za upande wa kushoto, mbili zinakataa. Tatizo ni nini?
Leseni zote za Class A zinatoka online na Class B kwa wilaya ya ILALA nazo zinatoka online unaenda kwenye website Home - TNBP unajisajili unapata username na hiyo password ambayoo email uliyoiweka ndio inakuwa username.
Click kwenye tab ya service then Business license. Baada ya hapo kuna mambo ya kujibu na kuload vitu muhimu kama ni mpya Mkataba wa Pango, Kitambulisho , kwa Kampuni memarts na hiyo tax clearance.
Unajibiwa haraka na baada ya siku moja au mbili unaletewa control number ukilipa baada ya dakika 15 mpaka nusu saa leseni inakuwa tayari unaprint unaweka kwenye biashara yako. Unachangamoto yoyote kwenye hili leta issue tusaidiane.
kwa faida ya wote weka kila kitu bayana na wengine tujue mchakato piaMasokwe,
very simple bro njoo DM nikupe ushuhuda
Leseni zote za Class A zinatoka online na Class B kwa wilaya ya ILALA nazo zinatoka online unaenda kwenye website Home - TNBP unajisajili unapata username na hiyo password ambayoo email uliyoiweka ndio inakuwa username.
Click kwenye tab ya service then Business license. Baada ya hapo kuna mambo ya kujibu na kuload vitu muhimu kama ni mpya Mkataba wa Pango, Kitambulisho , kwa Kampuni memarts na hiyo tax clearance.
Unajibiwa haraka na baada ya siku moja au mbili unaletewa control number ukilipa baada ya dakika 15 mpaka nusu saa leseni inakuwa tayari unaprint unaweka kwenye biashara yako. Unachangamoto yoyote kwenye hili leta issue tusaidiane.
Tax clearance kwa anaeanza biashara hawezi kuipata online?mkuu hii system naona inagoma kwenye kuchagua district, ward na village. Iko hivyo au ni tatizo la muda tu? pia ni mpaka nipate tax clearnce ndiyo nijaze? maana nimeona wametaka tu TIN, kodi ya robo nimeshalipia lakini. Wamefanya vyema kurahisisha huu mchakato.
Tax clearance kwa anaeanza biashara hawezi kuipata online?