Hapa manzese utapeli wa waziwazi wanajifanya kuna mchezo wa bahati nasibu unachagua namba ya bahati unaposhinda unapewa pesa no wizi ambao serikali unaujua kuanzia ngazi ya wilaya mpaka ngapi wilaya wanajua kuwa wananchi wao wanaibiwa sasa inakuaje serikali inashirikiana na wahuni kuwatapeli RAIA wake. Kiukweli tumelichoka na Hawa watu vile vile pia ni la udhalilishaji maana wahanga wengi ni wanawake wanapokuwa wameliwa pesa zao wanaambiwa wacheze mziki ili warudishiwe pesa zao hucheza hapo bila mafanikio yeyote inawadhalilisha vile vile inatuletea sifa mbaya hususan sisi wakazi wa manzese
