Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,970
Kwa mara nyingine tena nimeshuhudia Raia akiwa amewekwa chini ya Ulinzi na akirushwa kichura na Wanajeshi walioko pale Feri! Habari kama hii ilishawahi kuripotiwa hapa na Picha kuwekwa.
Najiuliza; kuna ulazima gani wa kushindwa kumwelimisha mtu kama eneo hilo haliruhusiwi kupita, kukaa, kutembea, kusimama, kuongea na simu na vitu vya namna hio hadi umkamate mtu na kumpa adhabu?
Naomba mamlaka husika zishughulikie suala hili tukikumbuka kuwa Ikulu na majengo yake yako kwenye mazingira ambayo wingi wa watu hauepukiki.
Ningewaona wana akili kama wangezuia au wangeimarisha majiko yale ya samaki ili moshi wa samaki wanao kaangwa usinnhgie ikulu au waihamishe lile soko pale kupunguza msongamano au kufunga kabisa ile barabara ila huu upuuzi wa kukamata Raia na kuwapa adhabu ni ujinga na upuuzi uliopitiliza.
Ikumbukwe kuwa jirani kabisa na Ikulu (kama ilivyoripotiwa hapa siku za nyuma) kuna watu wanaishi hapo na kuna kila aina ya uchafu na uhuni uliopitiliza kwenye dunia hii. Wangeenda kuwakamata hao na sio raia wasio na hatia. Narudia tena kitendo au vitendo kama vile havikubaliki wala kuvumilika, lazima hatua zichukuliwe.

Wapumbavu wale, am sorry to say this, ila nimeshuhudia mara nying wakiwasulubu watu pale, had nikajiuliza hiv huu ndo ulinzi ambao mfalme wetu kajiwekea? na picha zao vry soon nitazipata nizilete humu, cz kuna siku walimkamata mtu pale wakamtesa then ikaja vx ya black inaprivate number inaanz8a na A nafkir ikamchukua pale wakatokomea. Sikuwa na camera siku hyo