Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
Hahahhahaaa ni kweli Mpwa, nimeshindwa kutaja japo moja! Dah inauma sana
Jana/juzi imetoka ripoti ya matumizi ya nguvu yasio na lazima yaliofanywa na jeshi la polisi kwenye mkutano wa Cuf kule mbagala. Nani wa kuifanyia kazi hiyo ripoti wakati nchi nzima viongozi ni corrupt?