Acha ujinga. Wamejiharibu wenyewe. Chama chochote cha siasa na chenye wafuasi wengi kama hiki kina sera nzuri za kuliendeleza taifa na watu wake. Na ndio maana kinapata wafuasi wengi na mpaka wanaamua kukiweka madarakani. Tatizo ni ukengeukaji wa mtu binafsi kwa sababu ya ubinafsi na tamaa ya fedha. Tumia akili yako kamanda kufikiri..unaiacha wapi.ndio maana unakuta kulikuwa na mafisadi papa na wengi wengi kama yule mzee na kundi lake. Hao sasa wameshajitumbua wenyewe wameenda eti upinzani. Kwa hiyo kwa sasa chama kikubwa cha upinzani kimegeuka na kuwa chama cha mafisadi na kutetea ufisadi.. hivi tutafika kweli