Huu ujumbe WhatsApp humaanisha nini?

Huu ujumbe WhatsApp humaanisha nini?

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,413
Msaada wakuu, mara nyingi huwa nakutana na huu ujumbe ila ukweli huwa sielewi maana yake.

Screenshot_20210714-105820_WhatsApp.jpg
 
Kwahiyo Tuseme umezi-identify... Ehe? Utazifanyia nini... Utamtapeli? Acha u-much know!!!
Acha kua na akili matope wewe,comment yangu ni kama nimemtahadharisha tu kua kama aliamua kuficha hizo namba basi angekua muangalifu zaidi coz jinsi alivyo zificha ni rahisi kwa mtu kuzi identify,

Acha kukurupuka hovyo,uwe unatumia kichwa chako kutafakari jambo kwanza na upunguze ukimbele mbele.
 
Nahisi ni kautaratibu kapya wameanzisha maana Ni sasa hivi tu na mimi nimekuta hiyo kitu nikaenda hapo learn more nikagundua ni ishu za kawaida... wamesema inatokea hivyo huyo mtu (wa kwenye contact yako) akiwa amechange WhatsApp namba au amebadilisha simu

Nahisi wataalamu watakuja kuelezea zaidi
View attachment 1853003
 
Ni code ya end to end encryption.

Unaweza ku disable hio notification kwa kwenda setting kwenye security ipo option ya ku disable security notification.

Maelezo zaidi
Sorry mkuu, nje ya mada,
Nina tatizo la notification kwenye WhatsApp, yaana data ikiwa on message haziingii mpaka uende kwenye app yenyewe ya WhatsApp ndio message zinaingia, SIMU YANGU NI ANDROID 10 NA NIMEANGALIA KWENYE SETTING NIMEONA POP NOTIFICATION IMEKUWA DISABLE
Screenshot_20210715-171221_WhatsApp.jpg
 
Sorry mkuu, nje ya mada,
Nina tatizo la notification kwenye WhatsApp, yaana data ikiwa on message haziingii mpaka uende kwenye app yenyewe ya WhatsApp ndio message zinaingia, SIMU YANGU NI ANDROID 10 NA NIMEANGALIA KWENYE SETTING NIMEONA POP NOTIFICATION IMEKUWA DISABLEView attachment 1854934
Pop up ni jambo jengine halina mahusiano na notification kutokea ama la, pop up ni kile kibox hutokea mtu aki kutumia Msg unamjibu bila kuingia whatsapp.

Mara nyingi notification hupotea hadi ukiingia app husika ikiwa background process zimekuwa limited na app haziruhusiwi kufanya kazi chini kwa chini.

Hali hii Mara nyingi kwenye simu husababishwa na simu kuweka battery server on.

Kwa kuanzia Nenda setting Kisha battery Angalia kama battery server ipo on. Kama ipo on weka off.

Pia kunakuwa na optimizations za app moja moja, hapo hapo kwenye battery hii option ipo inachotakiwa ni kuiweka whatsapp kwenye exception isiwe optimized kwenye battery.
 
Kwahiyo hapo hujaona msaada??
Nimekwambia click hiyo link ukajifunze zaidi.
Kama mtu unaejielewa ungesema nimeclick na sijaelewa. Namna gani we kijana..
Unafikiri hadi nascreenshot, naedit na kupost hapa sikuyaona hayo maandishi?
Narudia tena jifunze kujali wengine hasa usiokuwa na taarifa zao vya kutosha.
Ungesoma ukapuuza na kuendelea na shughuli zako ingekuwa vema zaidi.
 
Back
Top Bottom