Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Jamani naombeni niwape warning...
Tafadhalini sana msiforward kabisa message za kisiasa ziwe za ndani ya nchi au nje au message zozote za kashfa. Lawyer mmoja mahiri sana kaniambia sheria ya mtandao ni mbaya kuliko mnavyodhani. Ana kesi mbili za watu wameforward messages anasema ni mbaya mno wanatafuta namna yakuwasaidia wateja wao hawaoni namna gani wanaweza kushinda. Kaniambia never forward or kutoa comments...
Forwarded as Received...
Swali, Je hii ni mbinu ya serkal kutisha watu?
Kufowardi message ya kisiasa imekuwa ni kosa toka lini hapa Tanzania?